Nigeria: Aliko Dangote atangaza nia ya kuuza Kiwanda chake cha Mafuta. Adai kuna watu hawajapendezwa

Nimeshindwa kuelewa kabisa huu ukalimani nikataka nikebehi na kusema alielewa kama ni mawese au ya karanga like hapa

Sijaona hizo hesabu na riba kubwa alizolipa mpaka sasa ingawa alichukua sijui 5.5b mkopo na kulipa baadhi tena kwa riba kubwa

Acha waburuzwe
 
Wizara ya uwezeshaji ikae naye ili hicho kiwanda alilete Tanzania - Kigoma kwa sababu raw mayerial za kiwanda cha mafuta zipo Kigoma.
 
Kwenye mafuta Nigeria wakubwa hula kwa mikono miwili,Sasa bwana dangote anataka kupunguza Bei ya mafuta,hatoboi
 
Huyu billionaire apewe uraia wa Tz chap! Ikiwezekana na kakijiji fulani hivi akamiliki. Muhimu akubali kuhamishia mitaji nchini.
Kama vile yule kanjibai wa simba alivyo tekwa akaachia ile ardhi ya kule ........ ..ops ni siri kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…