Nigeria, DR Congo, Kenya and Uganda have the world’s worst police forces

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,420
Reaction score
3,772
The already-sullied reputation of some of Africa’s largest police forces is in for more beating.

Of 127 countries measured in the 2016 World Internal Security and Police Index, Nigeria’s police force ranks as the worst, just below DR Congo, Kenya and Uganda to make up the bottom four.

The index, a collaboration between the International Police Science Association and the Institute for Economics and Peace, focuses on how much resources each nation devotes to internal security, whether the resources are used in an effective manner and whether the public view the police favorably. The index also assesses the current threats to internal security in each country.

Across all regions, North America and Europe show the highest level of police responsiveness to internal security issues while sub-Saharan Africa averaged the most internal security issues as security providers in the region are “under-resourced and stretched by terrorist organizations and insurgencies.” Nigeria’s scores ranked in the bottom 10 countries for all indicators measured.

Nigeria has only 219 police officers for every 100,000 citizens—below the index median of 300 and the sub-Saharan Africa average of 268, according to the report. Private security doesn’t fill much of that gap either with only 71 personnel per 100,000 Nigerians—one of the five lowest rates globally. That thin workforce has been stretched even more by the Boko Haram insurgency in the northeast, rampaging herdsmen in the middle belt region and the rampant kidnapping in Nigeria’s south.

Kenya and the Democratic Republic of Congo, both of which rank in the bottom five globally, face similar issues. Over the past year, with political tensions high, Kenyan police have faced allegations of carrying out more extrajudicial killings than anywhere else in Africa. Police forces in DR Congo have been tasked with containing several riots which have broken out across the country in response to president Joseph Kabila’s decision to remain in office.

Kenya and DR Congo have 99 and 100 police officers per 100,000 citizens respectively. Uganda is marginally better with 110 police officers per 100,000. Last year, a government survey found that Ugandans believe the police force is the country’s most corrupt institution.

Corruption is a key issue for Nigeria’s police force as well as shown by the report: 81% of respondents admitted to paying a bribe to a cop in the past year and police officers were found likely to “to use their public positions for private gain.” Public trust in the police is dire as less than 1% of thefts were reported to police officers, the report says.

For its part, Nigeria’s police force has rejected the report as “unempirical and absolute falsehood” which “should be disregarded and discountenanced.” Earlier this year a Nigerian government survey also showed police officers were the most likely of all civil servants to solicit and collect bribes. The police said the report was “entirely misleading“.

My take, Tanzania is not that perfect but we're waay better than Kenya kwenye suala la ulinzi na usalama. Na ukiona Police wapo hivyo, ujue kdf nayo ipo shaghalabaghala. Check out hashtag [HASHTAG]#LoggedOutForever[/HASHTAG], twitter.

Nigeria, DR Congo, Kenya and Uganda have the world’s worst police forces
 
Nigeria, DR Congo, Kenya and Uganda have the world’s worst police forces
By Yomi Kazeem November 11, 2017

True but this is stale news!
 
Hili la polisi siwezi kubisha, kwa kweli polisi wetu in mafisadi balaa, hupenda hongo sana.
Lakini ni kichekesho kwa Mtanzania kuicheka Kenya kwa hili, niwajuavyo mapolisi wa Tanzania he he he yaani nyie hata aibu hamuna.
Wale hongo yao wanaita hela ya maji, na kuna siku niliona video ya rais akihalalisha kabisa kwa kusema wapewe hela ya kubrush viatu, subiri naitafuta nitaileta humu.

Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

Saa zingine tunawaonea ninyi polisi, unakuta traffic amekaa mvua inanyesha lakini hata kumshukuru hamna kila siku anaambiwa anakula rushwa rushwa, sasa lakini hata akipewa sh 5000 ya kwenda kubrushi kiatu chake nayo ni rushwa?
MAGUFULI: ASKARI AKICHUKUA ELFU TANO BARABARANI SIO RUSHWA NI HELA YA VIATU | Umbea Mfululizo
 
mmmh asee kenya walitakiwa wawe kuu ya Nigeria wale askari wao sijui ni bangi au kuna kitu wanajifunzaga maana ni wakatili wacha kabisa...awe magereza, uhamiaji yaani hamna nafuu...niliponea kwenda kajiado...karibu nikatoa 6000ksh sikua na namna na kisa nimesahau yellow card
 
Hili la polisi siwezi kubisha, kwa kweli polisi wetu in mafisadi balaa, hupenda hongo sana.
Lakini ni kichekesho kwa Mtanzania kuicheka Kenya kwa hili, niwajuavyo mapolisi wa Tanzania he he he yaani nyie hata aibu hamuna.
Wale hongo yao wanaita hela ya maji, na kuna siku niliona video ya rais akihalalisha kabisa kwa kusema wapewe hela ya kubrush viatu, subiri naitafuta nitaileta humu.

Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

Saa zingine tunawaonea ninyi polisi, unakuta traffic amekaa mvua inanyesha lakini hata kumshukuru hamna kila siku anaambiwa anakula rushwa rushwa, sasa lakini hata akipewa sh 5000 ya kwenda kubrushi kiatu chake nayo ni rushwa?
MAGUFULI: ASKARI AKICHUKUA ELFU TANO BARABARANI SIO RUSHWA NI HELA YA VIATU | Umbea Mfululizo
MK254 huwa ninapata shida sana kukuelewa, inawezekana una akili sana kiasi ninashindwa kukuelewa, au IQ yako ipo chini sana, au unafanya makusudi kwasababu tu ya uzalendo wa nchi yako. Huu uzi na wala hiyo post toka kwa gazeti la standard, wakenya wanalalamika kwa polisi kushindwa kutimiza majukumu yao ya msingi ya kulinda raia na wananchi wa Kenya, badala yake wanawashambulia na kuwauwa wakenya, hakuna rushwa hapo iliyotajwa, wewe hili la rushwa limefikaje?, hakuna mtanzania hata mmoja hapa aliyekashifu polisi wa Kenya kwa sababu ya rushwa.

Tuje kwenye upande wa rushwa katika jeshi la polisi la Kenya na Tanzania, hivi kweli utasema jeshi la polosi la Tanzania linachukua rushwa zaidi ya Kenya, eti kwasababu unalijua, wewe mtu ulivyo na chuki na Tanzania, unataka tukuamini kwamba jeshi la polisi la Tanzania linarushwa eti kwasababu unalijua na kuliona bila ushahidi wowote toka kwa credible sources, eti unatumia msemo wa Magufuli aliozungumza katika hotuba zake kwamba hicho ndicho kigezo cha kusema jeshi la polisi la Tanzania lina rushwa kuzidi Kenya?, mbona huwa anasemaga Tanzania soon itakuwa donor country lakini hamuutumi huo msemo na kuonyesha Tanzania ni donor country?.

Yes, jeshi letu la polisi iko rushwa, lakini kamwe, kamwe huwezi kulinganisha na Kenya, Magufuli ameshusha sana kiwango cha rushwa kutoka 30% 2015 hadi below 10% mwaka 2017, tafuta data za karibuni utaona hali halisi, don't be soo cheap kutumia hotuba au maneno kutetea hoja ambayo inahitaji scientific statistics.
 
Huyu wa central ni mnufaika, wa kupuuzwa, hujitoaga fahamu akitetea nchi yake, polisi wa Kenya wanaongoza kwa extrajudicial killings in Africa, jacob juma, msando etc, hawa unaambiwa wameuliwa na kikosi ndani ya police, hiyo ni nchi au balaa. Sasa huyu jamaa yeye atatetea tu.
Alafu ndio chadema wanaita demokrasia hiyo. God forbid
 
Mbona mnapanic kihivyo, hamna sehemu nimetetea polisi Wakenya, kwanza huwa wananikera sana. Nilichosema Tanzania haina hadhi ya kuicheka Kenya maana mpo gizani zaidi. Wengi wa mapolisi wa Kiafrika wana matatizo yanayofanana, kitu ambacho huwa kinawaokoa nyie ni kwamba, mtu anaitwa Mtanzania ni mwoga balaa, hivyo polisi wenu hawajakumbana na mtihani wowote, hamuna hulka ya kukabiliana na polisi kama Wakenya wafanyavyo, la sivyo na nyie mngekua mnauawa.

Hebu chukulia pamoja na uwoga wenu kiasi kwamba huwa hamruhusiwi mikutano ya kisiasa lakini bado kuna visa vya kuuawa, na wengine kupigwa marisasi. Sasa mngekua na mtiti wa Kikenya si mngeuawa kila siku.

Hebu niambie kama polisi wenu hukumbana na picha kama hii hapa chini, tatizo la waandamanaji wa Kenya, wakilianzisha hupenda kukimbilia maeneo ya makazi ya watu kiasi cha polisi kuwafuata huko na kuishia kuwa majanga.

24D62FD300000578-2916433-But_accepts_help_graciously_Activist_Boniface_Mwangi_joins_the_s-a-7_1421676750472.jpg
 
Eti tupo gizani zaidi, unaumwa wewe, Kenya ndio giza, wewe tetea upendavyo lakini polisi Tz can handle chaos better than yours, are well taught and disciplined, huku hatuandamani Sana sababu serikali inajitahidi kutimiza wajibu wake, unlike serikali yenu.
We're waay better man, wewe bisha tu, lakini wataalam na wajuzi zaidi yako wameshapima na kujionea your police force is fvcked up.
 
Hawa polisi wa Kenya ni bure kabisa. Afu kila jibu lao lazima hapo ndani watie jina nyanyako. Sijui huko Kiganjo na Embakasi huwa wanapewa nini hicho ambacho kinawafanya wawe mazuzu.
 
Mbona mnapanic kihivyo, hamna sehemu nimetetea polisi Wakenya, kwanza huwa wananikera sana. Nilichosema Tanzania haina hadhi ya kuicheka Kenya maana mpo gizani zaidi. Wengi wa mapolisi wa Kiafrika wana matatizo yanayofanana, kitu ambacho huwa kinawaokoa nyie ni kwamba, mtu anaitwa Mtanzania ni mwoga balaa, hivyo polisi wenu hawajakumbana na mtihani wowote, hamuna hulka ya kukabiliana na polisi kama Wakenya wafanyavyo, la sivyo na nyie mngekua mnauawa.

Hebu chukulia pamoja na uwoga wenu kiasi kwamba huwa hamruhusiwi mikutano ya kisiasa lakini bado kuna visa vya kuuawa, na wengine kupigwa marisasi. Sasa mngekua na mtiti wa Kikenya si mngeuawa kila siku.

Hebu niambie kama polisi wenu hukumbana na picha kama hii hapa chini, tatizo la waandamanaji wa Kenya, wakilianzisha hupenda kukimbilia maeneo ya makazi ya watu kiasi cha polisi kuwafuata huko na kuishia kuwa majanga.

24D62FD300000578-2916433-But_accepts_help_graciously_Activist_Boniface_Mwangi_joins_the_s-a-7_1421676750472.jpg

mzee mwenzangu mbona na wewe SASA unaanza kujenga HOJA kinyonge??
unakuwa na 'nge nyiingi. eti mngekuwa siyo waoga .... mngeuawa wengii. sasa swali, kwa nini raia upambane na polisi?? where is civilisation?
raia wa Tanzania wanawaheshimu polisi na kuithamini kazi yao nzuri. kuna ushirikiano mkubwa sana. ndiyo maana taarifa za uharifu zinapelekwa kwao na wananchi ili wazifanyie kazi.
 
Back
Top Bottom