Nigeria: Jamaa wenye silaha za moto wavamia hospitali, wawateka madaktari, wagonjwa na ndugu wanaouguza wagonjwa

Nigeria: Jamaa wenye silaha za moto wavamia hospitali, wawateka madaktari, wagonjwa na ndugu wanaouguza wagonjwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Tukio hilo limefanywa na watu wenye silaha za moto ambapo hawajajulikana na inaelezwa pia wamewateka ndugu waliokuwa wakiuguza wagonjwa katika Jimbo la Niger.

Hakuna tamko rasmi la idadi ya watu waliotekwa lakini taarifa za awali inadaiwa ni Watu 20 na watatu wengine wameuawa.
---

Medics and patients kidnapped in Nigeria hospital attack

BBC World Service
Gunmen have carried out a deadly attack on a hospital in central Nigeria, abducting a number of staff, as well as patients and relatives.

The governor of Niger state, Sani Bello, condemned the raid on Gulu general hospital in the Lapai area as callous and inhuman.

There's no official word on the number of people involved in the attack staged in the early hours of Tuesday, but a resident told the BBC that three people had died and about 20 had been kidnapped.

Niger is one of the states badly affected by a sustained wave of abductions and killings by armed gangs.

Source: BBC
 
Nigeria nchi kubwa umaskini umewafanya wasiwe na jeshi la kutosha, haya mambo hayawezi kukoma wakiziba huku kule kuko wazi
 
Nigeria inabidi igawanywe Idea ya jamii ya Igbo wa Biafra ilikuwa poa sana. Afrika ndilo Bara linaangamia Kwa sababu ya ethics diversity, muslims wake kivyao, christians nao vilevile. Mambo hayaendi Kwa sababu Muslims ni wakorofi sana
 
Hatuwezi kufanya namna ya kuwahusisha wazungu katika tukio hilo? Kwamba watekaji wametumwa hao.
 
Hatuwezi kufanya namna ya kuwahusisha wazungu katika tukio hilo? Kwamba watekaji wametumwa hao.
Ni kweli mkuu, tuseme wazungu wanatuonea wivu na wametuma watu wao kutuua. Nafikri ni muda wa viongozi kutoka na kusema maneno hayo Kwa media.
 
Hapa ndipo ninapoona thamani ya vyombo vya dola(polisi na jeshi) hawa jamaa wathaminiwe sana katika nchi.
 
Hapa ndipo ninapoona thamani ya vyombo vya dola(polisi na jeshi) hawa jamaa wathaminiwe sana katika nchi.
Kwani Nigeria hawapo mkuu, ni level of civilization tu za baadhi ya jamii na mambo ya jihadi.
 
Hatuwezi kufanya namna ya kuwahusisha wazungu katika tukio hilo? Kwamba watekaji wametumwa hao.

I know ni sarcasm but man , umegusia point moja ambayo waafrika huwa tunaitumia sana tukitaka kukwepa responsibility zetu
 
Duu noma sana hawa jamaa, wamekosa pa kuingia,
 
Ngoja waje wavaa kobaz WA ushirombo wakwambie mabeberu ndio tatizo
 
Back
Top Bottom