Mahakama Kuu Nchini Nigeria imedumisha uamuzi wa kikosi cha Polisi kumfuta kazi afisa wa polisi wa kike ambaye alipata ujauzito nje ya ndoa mwaka jana.
Jaji Inyang Ekwo amesema hakuona sababu ya kutosha kuvuruga nidhamu ya jeshi.
Kesi hiyo iliwasilishwa Mahakamanina Chama cha Wanasheria wa Nigeria kufuatia kufutwa kazi kwa afisa ambaye hajaolewa ambaye alipata ujauzito Januari 2021.
"Maafisa wa Polisi wa kiume na maafisa wa Polisi waliooa katika Jeshi la Polisi la Nigeria hawabaguliwi, kuwekewa vikwazo, kuonewa na kudhalilishwa hivyo," ilisema.
Maamuzi sahihi kwa lengo la kuwalinda wanawake na wototo, hii itapunguza uwepo wa single mothers, na watoto wa mitaani, itajenga jamii iliyostaarabika ktk mahusiano ya kimapenzi