Nigeria: Majimbo 2 yapunguza siku za kufanya kazi, sasa ni 3 kwa wiki badala ya 5

Nigeria: Majimbo 2 yapunguza siku za kufanya kazi, sasa ni 3 kwa wiki badala ya 5

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Serikali za majimbo ya Edo na Kwara zimepunguza siku za kazi kuwa 3 kwa Wafanyakazi wa Serikali ili kuwasaidia kukabiliana na gharama kubwa za mafuta na usafiri baada ya tangazo la Serikali kuu kuondoa ruzuku ya mafuta.

Uamuzi huo unatajwa kuleta mjadala katika Sekta ya Umma na binafsi kuhusu hatua za kusaidia Wafanyakazi kukabiliana na ongezeko la gharama za maisha ambapo majimbo mengine yanatarajiwa kuiga mfano huo.

======

The cost of living has has gone up in Nigeria with fuel prices risingImage caption: The cost of living has has gone up in Nigeria with fuel prices rising

Two state governments in Nigeria have reduced the working days in a week to three for state employees.

The move is to help them cope with increased fuel and transport costs following the federal government announcement that it was scrapping fuel subsidies.

Nigeria is currently struggling to stem the cost of transportation that is now affected many households.

The Edo and Kwara states governments’ announcement will fuel debate in the public and private sectors about measures to help workers cope with the rising cost of living made worse by the removal of subsidies.

Public service workers across Nigeria have five working days in a week, but there’s still a lot of confusion about what happens to the workers in the private sector where some employees are required to work for six days.

There are indications that other states may adopt the new model.

Nigeria’s federal government has said it's setting up a team to consider agreements reached with organised labour on how to reduce the impact of rising costs.

The unions shelved their planned strike action on Wednesday, following a court order.

Source: BBC
 
Serikali ikisema forex reserves zimeshuka kwa sababu ya bei bro kubwa ya vitu Duniani Bado Kuna wapuuzi watabisha.

Sasa Hawa wanazalisha mafuta Je, Tzn ambayo Haina mafuta.
 
Wewe ni mpuuzi toa ujinga

Nigeria imefika hapo kwasababu ya ufisadi lile zee lilistaafu buhari na kundi lake
Serikali ikisema forex reserves zimeshuka kwa sababu ya bei bro kubwa ya vitu Duniani Bado Kuna wapuuzi watabisha .

Sasa Hawa wanazalisha mafuta Je Tzn ambayo Haina mafuta
 
Nigeria ni mzalishaji mmojawapo mkubwa wa mafuta duniani

Na mafuta yake ni high quality

Aibu kuwa bei iwe kubwa hadi wafikie.hatua hiyo

Wataalamu humu Jamii Forums hebu dadavueni tatizo nini wakati wao ni producers wakubwa wa mafuta ?
 
Nigeria ni mzalishaji mmojawapo mkubwa wa mafuta duniani

Na mafuta yake ni high quality

Aibu kuwa bei iwe kubwa hadi wafikie.hatua hiyo

Wataalamu humu Jamii Forums hebu dadavueni tatizo nini wakati wao ni producers wakubwa wa mafuta ?
Siyo yao,ni ya wenye viwanda vya refineries,
 
Come on man!

Mwenye mafuta hayo ni ya wawekezaji wanaoyachimba,Wanaijeria wanayanunua kama sisi huku tena Kwa Bei juu

Uarabuni wanajielewa
Labda issue ni mikataba mibovu ya uwekezaji sababu mfano sisi tuna madini mwekezaji ruksa hata kuuza yote nje kama dhahabu, Almasi nk sababu hatuna local consumption kubwa ya hayo madini lakini mfano kwa vyakula tunaxalisha nk bei ziko.chini

Mafuta Nigeria local consumption ipo.kubwa tena mno how comes wawe na hiyo.shida kuwa.mafuta yanazalishwa. Kwao halafu wanakuwa na hiyo shida wakati ni local product yenye demand kubwa
 
Back
Top Bottom