Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Sasa hayo wauulize wenyewe wanaijaLabda issue ni mikataba mibovu ya uwekezaji sababu mfano sisi tuna madini mwekezaji ruksa hata kuuza yote nje kama dhahabu, Almasi nk sababu hatuna local consumption kubwa ya hayo madini lakini mfano kwa vyakula tunaxalisha nk bei ziko.chini
Mafuta Nigeria local consumption ipo.kubwa tena mno how comes wawe na hiyo.shida kuwa.mafuta yanazalishwa. Kwao halafu wanakuwa na hiyo shida wakati ni local product yenye demand kubwa