Nigeria: Majimbo 2 yapunguza siku za kufanya kazi, sasa ni 3 kwa wiki badala ya 5

Labda issue ni mikataba mibovu ya uwekezaji sababu mfano sisi tuna madini mwekezaji ruksa hata kuuza yote nje kama dhahabu, Almasi nk sababu hatuna local consumption kubwa ya hayo madini lakini mfano kwa vyakula tunaxalisha nk bei ziko.chini

Mafuta Nigeria local consumption ipo.kubwa tena mno how comes wawe na hiyo.shida kuwa.mafuta yanazalishwa. Kwao halafu wanakuwa na hiyo shida wakati ni local product yenye demand kubwa
Sasa hayo wauulize wenyewe wanaija
 
Serikali ikisema forex reserves zimeshuka kwa sababu ya bei bro kubwa ya vitu Duniani Bado Kuna wapuuzi watabisha.

Sasa Hawa wanazalisha mafuta Je, Tzn ambayo Haina mafuta.
Tunayo. Yale ya alizeti unaita nini, juice ya fursana au?!
 
Nigeria ni mzalishaji mmojawapo mkubwa wa mafuta duniani

Na mafuta yake ni high quality

Aibu kuwa bei iwe kubwa hadi wafikie.hatua hiyo

Wataalamu humu Jamii Forums hebu dadavueni tatizo nini wakati wao ni producers wakubwa wa mafuta ?
Hata hii chuma tunayoichuma nina uhakika kabisa itakuwa haina athari kwa uchumi wetu
 
Nigeria ni mzalishaji mmojawapo mkubwa wa mafuta duniani

Na mafuta yake ni high quality

Aibu kuwa bei iwe kubwa hadi wafikie.hatua hiyo

Wataalamu humu Jamii Forums hebu dadavueni tatizo nini wakati wao ni producers wakubwa wa mafuta ?

Dhahabu iko kwenye rating ya dollar dunia nzima kila ukiamka rate ya dollar ni dhahabu sasa una dhahabu chunya, geita, kahama, katoro, singida, songea, tanga na una uhaba wa dollar utasema una akili timamu kweli, yaani congo yenye vita kwa sasa wana dollar nyingi kuliko Tanzania isio na vita ushajiuliza hilo?
 
Asiye na akili timamu kukosa dola nani mchimbaji anayeuza dhahabu au serikali?
 
Sijaelewa uarabuni ziko refineries kibao za foreigners lakini hajujawahi kuona tatizo kama hilo
Nigeria ni corrupt country to the maximum! Kule hadi afisa polisi wa nyota tatu anaweza kukuomba rushwa airport tena kwa sauti kubwa bila woga!
 
Nigeria ni mzalishaji mmojawapo mkubwa wa mafuta duniani

Na mafuta yake ni high quality

Aibu kuwa bei iwe kubwa hadi wafikie.hatua hiyo

Wataalamu humu Jamii Forums hebu dadavueni tatizo nini wakati wao ni producers wakubwa wa mafuta ?
Ni ujinga wa wafanyabihashara ukivikwa taji na Serikali kwani wafanya bihashara hao hao ndo wanaunda serikali. Just imagine sukari inatengenezwa Kagera Sugar lakini bei yake ni kubwa Bukoba kuliko Dodoma. Ukiuliza heti hakuna maagent Bukoba!!!!! Bei ya sato pale Ngara ni 12,000 kwa kilo lakini ni 9,000 kwa Dar, we angalia umbali wa Dar kutoka ziwa Victoria??

Waarabu njoeni tuwabinafshie siasa zetu
 
Aiseee
 
Tatizo kubwa pia ni corruption na ufisadi ndani ya nchi ya Nigeria , ugonjwa wa mtu mweusi
 
Sijaelewa uarabuni ziko refineries kibao za foreigners lakini hajujawahi kuona tatizo kama hilo
Usijitoe ufahamu , Crooked politicians na magenge yao ndio wanakula hizo revenues za mafuta na gas kifisadi ,
Hata Tanzania si michezo ya siku zote hii kwenye madini na resources nyingine ?
Halafu poor citizens eat scraps
Nigeria is extremely corrupt country ,na ndio inayoongeza hata gap Kati ya mwenye nacho na asiyekuwa nacho ,kila siku Nigerians wanakimbia nchi yao ,sababu ni hiyo ,burden ya ufisadi ,criminality na rushwa burden anabeba mwananchi kwa maisha magumu ,kama Tanzania tu
 
Back
Top Bottom