Nigeria: Mgonjwa wa kwanza wa Virusi Vya Corona (COVID-19) agundulika

Nigeria: Mgonjwa wa kwanza wa Virusi Vya Corona (COVID-19) agundulika

Sub-Saharan Africa just recorded its first coronavirus case. The WHO and Bill Gates have warned that Africa can't deal with an outbreak.
1582902535137.png
 
Wewe unadhani una akili kuliko waliohuisha corona virus kwenye maabara?

Waki twist formula kidogo tu kwenye kumtengeneza virus tutashuhudia mtakavyoweweseka!

Waziri wenu wa afya na watanganyika wote mtapoteana! Hata huyo mkombozi wenu wa wanyonge atawakimbia!
Haaa haaa 🤣 teh teh teh 🤣🤣🤣 hii comment imenivunja mbavu teh teh teh 🤣 🤣!
Mkuu umewaza nini mpaka umeandika haya? Teh teh teh!!
 
Haaa haaa [emoji1787] teh teh teh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii comment imenivunja mbavu teh teh teh [emoji1787] [emoji1787]!
Mkuu umewaza nini mpaka umeandika haya? Teh teh teh!!
Jamaa anajitia ujuaji wakati hajui kitu.

Hafahamu maisha yake yapo kwenye kiganja cha mzungu aliyeko maabara anayetekeleza maagizo ya wenye dunia yao!
 
Back
Top Bottom