Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Usirudie tena kumuhusisha huyu mnaijeria na vitu vya kipumbavu.Masanja Mkandamizaji wa Nigeria
Basi ni Sugu wa NigeriaUsirudie tena kumuhusisha huyu mnaijeria na vitu vya kipumbavu.
Ni msanii Gani hapa bongo anaweza kuwakatalia vigogo wa nchi hii, msipende kuwaponza wenzenu Ili wawafurahishe huku wakijichimbia kaburiHuyo ndo anaakili sio haya matakataka ya Tanzania sijui dayamond,masanja mkandamizaji aka tapeli la dini, sijui siwema sepetu aka muuza ngada na mengine yote ya aina hio.
Kama hujui jambo ni vyema ukanyamaza. Hivi unajua Diamond alisaidiwa na JK mwaka 2010 ili kufika alipo? Baada ya Diamond kuhusika kikamilifu katika kampeni za JK.Ingekuwa hapa kwetu huyu msanii angetekwa ama kuuawa. Ndiyo maana hawakataagi
Sasa umeandika nn hapa? Mm naongelea msanii kukataa kujihusisha na siasa ili kulinda brand. Wewe unaongelea msanii kusaidiwa na mwanasiasa kupata brand. Vinaendana ???Kama hujui jambo ni vyema ukanyamaza. Hivi unajua Diamond alisaidiwa na JK mwaka 2010 ili kufika alipo? Baada ya Diamond kuhusika kikamilifu katika kampeni za JK.
Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi
View attachment 2311664
Lifeless,,,Nkem Owoh maarufu kama Osuofia alikuwa na rafiki yake marehemu Sam Loco Efe walikuwa wanaigiza vizuri sana.
Huyo Atiku Tinubu ni mzee kutoka chama tawala cha sasa. Kati ya wagombea wa Nigeria ambao siwapendi ni huyu mzee. Chama chao wajinga sana hadi sasa hivi magaidi wanaelekea kushambulia Abuja na vyombo vyote vya ulinzi vipo tu. Uchumi wa Nigeria umefeli, inflation, nauli zimepanda sana, mafuta serikali imelazimika itoe subsidies maana nchi inauza ghafi kwenda nje na inanunua yaliyochakatwa kwa gharama. Imelazimika iyauze kwa hasara kipindi hiki wananchi wasiandamane.
Mgombea mwenyewe kusimama wima hawezi. Huyu ni version mpya ya Buhari, careless hawana muda na raiaView attachment 2311697