Nigeria na Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida

Nigeria na Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
Habari,

Jamani tukazane kuhimiza mabadiliko ya kielimu

Nchi kama Nigeria, Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida mnoo, alafu yuko ametulia mahali tu'' - @SamsonChazz

1722433053204.jpg
 
Bongo ukiwa Mbunge, Waziri au Rais Udokta ni wa kufikia tu paaap. PhD bado kidogo tu
 
Back
Top Bottom