stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Yatizo sio wingi, hizo phd zina saidia nn nchi? Tz haina phd nyingi kama mnavyodhaniHata Tanzania ziko nyingi tuu
hizo za cameroon zimesaidia nini?Yatizo sio wingi, hizo phd zina saidia nn nchi? Tz haina phd nyingi kama mnavyodhani
Hivi watu wanasoma PHD kusaidia nchi au kujinufaishia mwenyeweYatizo sio wingi, hizo phd zina saidia nn nchi? Tz haina phd nyingi kama mnavyodha
Habari
Jamani tukazane kuhimiza mabadiliko ya kielimu
Nchi kama Nigeria, Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida mnoo, alafu yuko ametulia mahali tu'' - @SamsonChazz
View attachment 3057728
depends na muhusika analengo gani wakati ana ji enroll kuchukua phdHivi watu wanasoma PHD kusaidia nchi au kujinufaishia mwenyewe