Nigeria: PHD at 25 years of age?

Nigeria: PHD at 25 years of age?

Jinsi nilivyoungaunga shule, loh, mwaka huu ndo napata diploma 33yrs. laiti ningekuwa naishi na ma-genius na ma-savant ya NN ningefanya kama yule mkenya kwa Mghana, at least muda huu ningekuwa nimemaliza bachelor degree
 
Kama kweli,then huyu dogo kapiga 1yr chekechea , 7yrs msingi, 4yrs olevel,akasubiri matokeo mwezi mmoja tuseme, 2yrs alevel,kama aliunganisha chuo,akapiga 4yrs(kama alisoma masomo yetu yale ),then masters 2yrs na akamaliza 3yrs na PhD.Total of 23.1yrs.

so 25-23.1=1.9yrs.
Kwa hiyo dogo kaanza kusoma akiwa na harufu ya maziwa ya mama mdomoni..........:confused2:
 
Kama ya Maji marefu kaka?
ur wishes and assumptions won't change the facts. lakini nafasi iko wazi kwa kila mtz kujiendeleza kielimu(if it is important) badala ya kuwa negative bila ya sababu za msingi.
 
Mkuu Utantambu, unajua sisi tunadhani sio kawaida kwa mifumo yetu ya elimu na wakati mwingine wahadhiri vyuoni huwakwamisha wanafunzi hasa wa PhD pasipo sababu.Wako watu wanasoma PhD ya miaka 3 inageuka kuwa miaka 7, au usimamizi unasuasua au mhadhiri anamwambia nenda rudi na wala hampatii mwongozo wa kutosha....na hii ndo hukatisha tamaa. It is only in Tanzania (and some few African countries) where PhD is known as Permanent Head Damage!
wapi huko ni kawaida Ph D at 25?
 
average ya bongo ni umri gani?

7-13: Primary School
14-17: Secondary school
18-19: Advanced Secondary School
20-23: Bachelor Degree
23-25: Masters
26-30: PhD

Kwa system ilivyo wenye PhD huanzia 30......
 
Kama kweli,then huyu dogo kapiga 1yr chekechea , 7yrs msingi, 4yrs olevel,akasubiri matokeo mwezi mmoja tuseme, 2yrs alevel,kama aliunganisha chuo,akapiga 4yrs(kama alisoma masomo yetu yale ),then masters 2yrs na akamaliza 3yrs na PhD.Total of 23.1yrs.

so 25-23.1=1.9yrs.
Kwa hiyo dogo kaanza kusoma akiwa na harufu ya maziwa ya mama mdomoni..........:confused2:

Sio kila mtu anapitia hizo levels. Binafsi nimeanza std one nikiwa na 5yrs nilipofika la nne nikahamia Kayumba skul nikarushwa la sita, nikafaulu std seven na kuendelea ingawa mpaka sasa sijapata Phd ila nategemea kupata Master degree ya pili. Na nimepata first degree 2009
 
mdogo wangu ana miaka 18, now yupo 1st year chuo, atamaliza chuo na miaka 20, ikitokea akaunganisha masters itamchukua miaka 2 mingine, phd mi 3, hapo itakuwa ni miaka 25. Ukimwona alivyo mdada huwezi jua kabisa ni teenager!
 
Back
Top Bottom