King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ufisadi na ubadhilifu!Nyie wenye Phd mme-deliver nini kwa taifa?
tumedeliver maarifa na ufahamu.Nyie wenye Phd mme-deliver nini kwa taifa?
kaa uliibiwa demu na Phd holder pole zako..ur hate is misplaced.Ufisadi na ubadhilifu!
Hebu weka mchanganuo hasa kwa kutumia mfumo wa elimu wa tanzania.
Kula leki... Waafrika wameshindwa kuunyesha usomi wao kwa vitendo wamebakia kungangana na makaratasi tu. Sasa kama amepata ili iweje?
average ya bongo ni umri gani?
Kama ya Maji marefu kaka?Mie at 31.
Kama ya Maji marefu kaka?
ur wishes and assumptions won't change the facts. lakini nafasi iko wazi kwa kila mtz kujiendeleza kielimu(if it is important) badala ya kuwa negative bila ya sababu za msingi.Kama ya Maji marefu kaka?
wapi huko ni kawaida Ph D at 25?
Ngoja PhD aje atufafanuli ye alipata ana miaka mingapi!
kaa uliibiwa demu na Phd holder pole zako..ur hate is misplaced.
average ya bongo ni umri gani?
Kama kweli,then huyu dogo kapiga 1yr chekechea , 7yrs msingi, 4yrs olevel,akasubiri matokeo mwezi mmoja tuseme, 2yrs alevel,kama aliunganisha chuo,akapiga 4yrs(kama alisoma masomo yetu yale ),then masters 2yrs na akamaliza 3yrs na PhD.Total of 23.1yrs.
so 25-23.1=1.9yrs.
Kwa hiyo dogo kaanza kusoma akiwa na harufu ya maziwa ya mama mdomoni..........:confused2: