The_Emperor
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 871
- 125
7-13: Primary School
14-17: Secondary school
18-19: Advanced Secondary School
20-23: Bachelor Degree
23-25: Masters
26-30: PhD
Kwa system ilivyo wenye PhD huanzia 30......
mdogo wangu ana miaka 18, now yupo 1st year chuo, atamaliza chuo na miaka 20, ikitokea akaunganisha masters itamchukua miaka 2 mingine, phd mi 3, hapo itakuwa ni miaka 25. Ukimwona alivyo mdada huwezi jua kabisa ni teenager!
Anachukua kozi gani?
if it is tatizo, gladly not mine.You are not speaking like PhD holder, na hili ndio tatizo
Anachukua kozi gani?
A friend of mine he is a the netherlandian,got phd in 21yrs old(FRED VAN LONIOT)was 2006.
A Dutch?
hakuna la kushangaza hapa...ni age ya kupata phd kabisa
USA for sure!
hakuna la kushangaza hapa...ni age ya kupata phd kabisa
Sio kila mtu anapitia hizo levels. Binafsi nimeanza std one nikiwa na 5yrs nilipofika la nne nikahamia Kayumba skul nikarushwa la sita, nikafaulu std seven na kuendelea ingawa mpaka sasa sijapata Phd ila nategemea kupata Master degree ya pili. Na nimepata first degree 2009
Mkuu Utantambu, unajua sisi tunadhani sio kawaida kwa mifumo yetu ya elimu na wakati mwingine wahadhiri vyuoni huwakwamisha wanafunzi hasa wa PhD pasipo sababu.Wako watu wanasoma PhD ya miaka 3 inageuka kuwa miaka 7, au usimamizi unasuasua au mhadhiri anamwambia nenda rudi na wala hampatii mwongozo wa kutosha....na hii ndo hukatisha tamaa. It is only in Tanzania (and some few African countries) where PhD is known as Permanent Head Damage!
kiongozi suala la usumbufu/urasimu usiokuwa na sababu kwenye vyuo vyetu hilo linajulikana vyema...lakini kwa maoni yangu 25 kupata Ph D ni maajabu, ingawa pia suala hili kuonekana kama maajabu inategemea ni wapi ulipo, mfano Nyani Ngabu anasema kwa USA inatokea