Nigeria: Tinubu kuapishwa licha ya uwepo wa kesi za kupinga ushindi wake Mahakamani

Nigeria: Tinubu kuapishwa licha ya uwepo wa kesi za kupinga ushindi wake Mahakamani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1681383454313.png

Waziri wa Habari, Lai Mohammed anasema Rais mteule Bola Tinubu ataapishwa tarehe 29 Mei licha ya kesi Mahakamani kupinga ushindi wake

Wagombea Wanne wa Urais waliwasilisha mapingamizi ya kisheria tarehe 21 Machi dhidi ya ushindi wa Tinubu, kwa madai kuwa kulikuwa na wizi wa kura na udanganyifu wa kura.

Aidha makundi mengine ya Wapinzani yametoa wito wa kuundwa kwa Serikali ya mpito hadi kupatikana kwa mwafaka baada ya Kesi hizo kumalizika.

.................

Nigeria says Tinubu to be sworn in despite court cases

Nigerian Information Minister Lai Mohammed says president-elect Bola Tinubu will be sworn in on 29 May despite court cases challenging his victory.

Groups dissatisfied by the outcome of the 25 February presidential election are agitating for an interim government as outgoing President Muhammadu Buhari officially leaves office in May.

Mr Mohammed said there was "no basis" for the constitution of an interim government. He said the opposition political parties have the right to challenge the presidential election in court

Four presidential candidates filed legal challenges on 21 March against Mr Tinubu's victory, alleging widespread rigging and manipulation of tallies.

It takes about eight months for the judiciary to determine a presidential election petition. The petition must be heard within 180 days from the day it is filed. A petitioner can appeal the tribunal’s judgement at the Court of Appeal within 21 days from the decision date.

If petitioners are dissatisfied with the appellate court’s decision, which is delivered within 60 days, they have 21 days to appeal it at the Supreme Court, whose decision is final.

Source: BBC
 
Ila muda mwingine siasa za kukatalia matokeo zinakuaga za kipuuzi tu.

Hebu fikiria kipindi kabla ya uchaguzi huyu mwamba kwenye kula za maoni ndiyo alikuwa anapewa nafasi kubwa ya kushinda. Akifatiwa na atiku abubakar.

Sasa kashinda kweli Kama uelekeo ulivyokuwa unajionesha halafu watu wanaanza kupinga matokeo, Kama si upuuzi ni nini?
 
Ni wakati sasa kuletwa vifaa vya kisasa vya kupigia kura katika bara la Afrika zitakazowezesha wapiga kura kupiga kura kwa kubonyeza mara moja tu na kura yake inakuwa imesajiliwa na kuhesabika.

Na hii inaruhusu mtu kupiga kura mara moja tu katika kituo chochote cha kupigia kura na kuhesabiwa na mashine ambayo baada ya muda wa kupiga kura kumalizika hutoa matokeo mara moja na ndani ya masaa mawili matokeo ya nchi nzima yanakuwa yamejulikana.

Bila ya huu utaratibu wa computarized election kuletwa, kelele za wizi wa kura zitaendelea kuwepo tu siku zote na wataokataa huu utaratibu tujue ndio wezi wa kura na wako madarakani kiuongo.
 
Back
Top Bottom