Nigeria to ban degrees from Kenya, Uganda in crackdown

Walionifundisha undergraduate utaishia kuwaona kwenye TV, moja ya generation bora kabisa ya academicians nchi imewahi kuwapata.
Useless academicians...wewe na waliokufundisha nyote mnavaa suti jua kali,pumbavu kabisa
 
Nigeria Wamesema Zile Ambazo Hazijawa Na Ubora
Mfano Mwandishi Wa Habari Za Uchunguzi Alisoma Chuo Miezi 3 Akapewa Degree Yake Chap Chap
 
Wateja wakubwa wa hivyo vyuo vinavyotoa degree ndani ya miezi miwili au mitatu ni wanasisa.

Hivyo vyuo vinakubali kudahili wanafunzi wasio na vigezo vya kuingia chuo kikuu, maana haja yao ni pesa, na vinawatunuku hizo shahada haraka haraka.

Kuna umuhimu wa kuchunguza utitiri wa degree na PhD za wanasiasa wa Tanzania..
 
Baadhi ya Degree za Uganda zinatia mashaka. Unaweza kukuta mtu aliyeshindwa Tanzania kwenda form V, ameenda Uganda akapata degree kwa performance ile ile waliyoikataa Tanzania!
 
Useless academicians...wewe na waliokufundisha nyote mnavaa suti jua kali,pumbavu kabisa
Jua linaniumiza mara chache, muda mwingi natumia A.C, nikiingia ofisini saa 12, nikatoka saa 2 usiku, huwa nasahau kama kuna jua kali na joto linalosumbua nchi hii
 
Hawa Wa Niger

Ma masters wa fake degrees wana BAN fake degrees toka nchi zingine!!
The irony ,wakati wao ndio miamba wa forgery za kila aina
Ndio na mimi nashangaa
Mpaka huko Marekani wamegundua Lundo kubwa la wafanyakazi wenye elimu za kughushi toka Nigeria mfano Nurses mwaka huu .
 
Tatizo wameweka umuhimu sana mwenye maisha ya watu..🤣
 
UDSM hii maarufu Kama Jalalani,by Prof. Kabudi?
 
Bila kusahau digrii uchwara za MUM
 
Walionifundisha undergraduate utaishia kuwaona kwenye TV, moja ya generation bora kabisa ya academicians nchi imewahi kuwapata.
Hiyo elimu yako haijakusaidia kama mpaka leo unakenua kuwaona watu unaowajua kwenye TV. Wewe ni ngumbaru kama ngumbaru wengine
 
Hiyo elimu yako haijakusaidia kama mpaka leo unakenua kuwaona watu unaowajua kwenye TV. Wewe ni ngumbaru kama ngumbaru wengine
Ngumbaru maana yake nini? Kwa ambao hatujakulia vijijini hatujui
 
Yaani udsm siku hizi wanaitumia Nkrumah kuzindua simu za Techno! Kweli chuo kimeshuka hadhi.
 
Ngumbaru maana yake nini? Kwa ambao hatujakulia vijijini hatujui
Ngumbaru ni neno la Kiswahili, wakiokulia vijijini Kiswahili hamjui. Bado na shule yako ya kuona watu kwenye TV hujui Kiswahili
 
Ngumbaru ni neno la Kiswahili, wakiokulia vijijini Kiswahili hamjui. Bado na shule yako ya kuona watu kwenye TV hujui Kiswahili
Nilisoma kiswahili kama somo tu, sijapitia shule za dumu na mfagio
 
Jua linaniumiza mara chache, muda mwingi natumia A.C, nikiingia ofisini saa 12, nikatoka saa 2 usiku, huwa nasahau kama kuna jua kali na joto linalosumbua nchi hii
Si kweli,wengi wenu hasa mawakili kutwa na Makoti Kama mende
 
Udsm imedhalisha mwijaku

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Hata kwenye hivyo vyuo mnaona ni vya maana wanawake wazuri huishia kupata first class,matokeo pekee hayana mbambamba ni ya necta nchi hiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…