Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
UDSM zamani sio hii .inshort we nae ni pumbaKwa Tanzania, wapige ban digrii za Open Univerisity kwa kuwa wanaosoma hapo hufanyiwa kila kitu na watu, na wanawalipa hela, pia degree za Saint Augustine, Tumaini, na Mzumbe Mbeya Campus, Jordan University. Hizi degree zote ni takataka,
Vyuma pekee ni UDSM, SUA, Muhimbili.
UDOM ni High School iliyochangamka