Kwa Tanzania, wapige ban digrii za Open Univerisity kwa kuwa wanaosoma hapo hufanyiwa kila kitu na watu, na wanawalipa hela, pia degree za Saint Augustine, Tumaini, na Mzumbe Mbeya Campus, Jordan University. Hizi degree zote ni takataka,
Vyuma pekee ni UDSM, SUA, Muhimbili.
UDOM ni High School iliyochangamka