Nigeria vs Switzerland FIFA U/17 Final

Nigeria vs Switzerland FIFA U/17 Final

Dah,

Huwa inaniuma sana kuona timu ninayoipenda ikifungwa kama hivi,,, wacha nivae miwani myekundu nisione Switzerland wakituaibisha nyumbani

There is still a lot of time.Sijakata tamaa.
 
duuuh mshika kibendera vipi tena? ndio maana tunahitaji video replay mpira umevuka mstari hule kabisa.
 
watazamaji wanatoka wamefungwa nyumbani very disappointed...Mmmmh wanakoswa lingine!
 
Duh wanaijeria itawauma hii kitu km vile stella walivyowafanya simba tehe na mpira umeisha dah
 
Back
Top Bottom