Hakuna mafundisho ya dini yanayoelekeza hayo matendo,ni wahuni tu hao wachache wanaojificha kwenye kichaka cha dini,na wengi wao ni wa dini yako wanakazi maalumu ya kuchafua dini hiyo unayoituhumuHii dini ya hovyo ningekuwa RAIS nisingeruhusu nchini kwangu kusikia raia anaiamini.
Tatizo kwanini wahusike na hiyo dini 1 tu, kwanini hazihusiki Budhaa, Hinduism, Paganism, kuna nini haswa kiuhusiano kati ya hiyo hiyo dini 1 pekee kila kukicha na ugaidi [emoji848][emoji34]Hii dini ya hovyo ningekuwa RAIS nisingeruhusu nchini kwangu kusikia raia anaiamini.
Rais mwenyewe inahisiwa anawasaidia kisiri na ndo maana jeshi lililopo kule juu lina sheria za kiislam sababu Nigeria inatawaliwa kwa states na wana machiefs wao ambao wana itikadi hizo.Hii dini ya hovyo ningekuwa RAIS nisingeruhusu nchini kwangu kusikia raia anaiamini.
Anti West wanasema yanafadhiliwa na US na Ulaya!Hayo makundi ya kigaidi imeshindikana kabisa ya kuyafutilia mbali hapa duniani?