Baringo ndio Nini?
Umesahau kenya ni mbuga ya wanyama inayopatikana TanzaniaNa usisahau TANZANIA ni mkoa wa Kenya. Wanasema upo katikati mwa turkana na baringo
Kitu cha kushangaza ni kuona Kenya ambayo ni miongoni mwa chimbuko la Kiswahili, wengi wenu hasa waliokwenda shule wanakidharau na kukipuuza, mkiongozwa na serikali na viongozi wenuAfadhali hii itakuwa lugha ya kwanza ya Waafrika. Sio hizo takataka zingine zilizoletwa na majitu. Hii ni habari njema. Kumekucha Afrika. Mababu zetu wanatabasamu kokote waliko.
Boringo Itakuwa ni slumBaringo ndio Nini?
Neno "Venye" ndiyo kiswahili ganikiswahili chenyewe hat hamkijui '' VILE VENYE MNASEMA KACHUkUAGA BIBI YA MWENYEWE'' sijui hiki ni kiswahili cha wapi
Wakenya mungu anawaona kelele zote hizi kumbe mnaishi kwenye slum hii ndiyo maana wakenya wanaumia kuona tz hakuna slum .Siku kwenye mtihani ukiulizwa nchi pekee ya Africa isiyo na slum usisite kujibu TANZANIAKwanza wale we mtaa ndio watapelekwa afrika kusini.
Mode anaingia daro na kugotea mastude ; ' niajez watunguyaz?'
[emoji16] hadi raha [emoji38][emoji28]
Hawa manyang'au wanajitutumua lakini sarufi inawagomea vibaya. Angalau ndugu yao MK254 anatamba humu na Kiswahili chake cha kukariri kwenye majarida. Anajitahidi lakini bado sarufi yake duni mno. Kiswahili chake ni kama cha roboti aliyejazwa mifumo ya lugha kwenye CPU yake.kiswahili chenyewe hat hamkijui '' VILE VENYE MNASEMA KACHUkUAGA BIBI YA MWENYEWE'' sijui hiki ni kiswahili cha wapi
Mbona uko obsessed na 'slum' hivi? Hakuna komenti utarusha humu bila kutaja slum. Nina wasiwasi unaishi kwa nyumba ya tope iliyoezekwa na nyasi hapo mbagalaWakenya mungu anawaona kelele zote hizi kumbe mnaishi kwenye slum hii ndiyo maana wakenya wanaumia kuona tz hakuna slum .Siku kwenye mtihani ukiulizwa nchi pekee ya Africa isiyo na slum usisite kujibu TANZANIA
Labda ujinga wako.Ujinga wetu...
Huyo jamaa kajifunzia Kiswahili humu humu. Alipojiunga enzi hizo akijiita lawmaina alikuwa na Kiswahili kibovu balaa.Hawa manyang'au wanajitutumua lakini sarufi inawagomea vibaya. Angalau ndugu yao MK254 anatamba humu na Kiswahili chake cha kukariri kwenye majarida. Anajitahidi lakini bado sarufi yake duni mno. Kiswahili chake ni kama cha roboti aliyejazwa mifumo ya lugha kwenye CPU yake.
cha wakenyaNeno "Venye" ndiyo kiswahili gani
Karafuu zetu pemba wakadai zao pia. Sasa kiswahili cha Unguja mjini nacho chao, na wanaotaka kuunganisha Bara la afrika sio tena Nyerere ni Uhuru ndio muanzishaji π π wacha tukae kitako tupunge upepo tuHawa jamaa wanapenda sana kutembelea nyota yetu
Tanzanite walijifanya yao,mlima Kilimanjaro wanajifanya upo kwao na sasa wanataka kukifanya kiswahili kiwe chao
Tuelimishe Historia ya Afrika you.πππAhaa haaa.
Sasa sikilizeni. Vile tulivyochukua lile bomba la mafuta. Ndivyo tutakavyo chukua makao makuu ya huu Muungano wa AfCFTA.
Tumeshatenga eneo tayari kule Jijini Arusha karibu na Nelson Mandela African Institute of Science and Technology, along barabara ya Arusha Ring Road (East Africa By Pass) nasikia imeshaisha.
Wakenya sahauni, Vitu vyote seriuos kwa ajili ya Afrika (Pan Afrikan Issues) hazitakaa zipelekwe Kenya maana nyie mnajulikana as an agent of neo-colonialism. Nyie chukueni yale mashirika ya kibeberu sijui micro soft, na mengine mengi kutoka ubeberuni. Lakini kwa issue ya huu umoja ni Ethiopia na Tanzania tu. Najua mtakuja na mapovu. kwa sababu you DON'T KNOW THE HISTORY OF AFRIKA.
CC:
pingli-nywee
MK254