Nigeria yaacha kununa, ipo tayari kujiunga na Waafrika wengine, pia Kiswahili chateuliwa kama lugha rasmi ya Afrika

Mtu anapokutusi hata kama kuna ukweli kwa alichokisema, lazima umpe makavu, ila ukweli Afrika tuna ushithole mwingi, japo kuna wale ambao ni shithole zaidi ya wengine.
Hebu waza Tanzania pamoja na kuwa na raslimali nyingi kuzidi mataifa mengi, lakini hutajwa kwenye maskini wa kutupwa.
MaCCM hamna aibu...
Kuna utofauti sana Kati ya Maskini wa Kenya na maskini wa Tanzania.
Maskini wa Kenya anaishi kwenye nyumba ya bati,anavaa Kama chokoraa,hana uhakika wa kumiliki shamba au kiwanja,huduma za matibabu ni pasua kichwa.
But maskini wa Tanzania anaishi kwenye nyumba ya kiungwana,anamudu mavazi mazuri,ana possibility ya kuwa na shamba ama kiwanja,ni rahisi kupata huduma ya matibabu.
Niliwahi kuishi Kenya kiukweli nilitokwa na machozi the way they live.
 
Afadhali nyumba ya bati. Nyie mnaishi kwa nyumba za tope na nyasi mpaka mnaporomokewa. Inahuzunisha sana.
 
mimi kama mtanzania na muafrika napenda afrika tuungane tutaleta mapinduzi ambayo wazungu waliyasomaga kwenye vitabu vyao kuhusu sisi dunia bado mwisho haujafika mpaka kijiti kirudi kwa mwenyewe in population tuko zaidi ya hata wachina

market tutatengeneza kila kitu na usishangae hao viongozi wanaojaribu kukaa na kuiunganisha afrika kila mmoja nchini kwake propaganda zitaanza kuenenezwa na white foxes maana wanaogopa muungano wa sisi watu weusi wanajaribu kuua lakini hawawezi.
Hao Wakenya wapo kwa ajili ya maslahi yao tu na si kweli kwamba wanapenda kuungana.
Hao ni wabaguzi sana ndio maana ni ngumu sana kwa Mtanzania kuvuka mipaka yao na kwenda kufanya kazi kule lkn wao wamejazana wengi sana kwenye kampuni za huku Tanzania.
 
Xiomi zako bado tutaangiza jombaa, kwasababu kwa sasa havitengenezwi kwenye bara hili. Bidhaa zingine kutoka Afrika zitapewa kipau mbele kabla ya kuagiza kutoka nje. Kwa nchi ambazo zipo kwenye mkataba huu.
Tutajie basi hizo bidhaa pendwa jombaa!!
Au unamaanisha pempas na taulo za akina mama!!

Wenyewe mnajiona mnapiga business kinoma!!!
 
Kuna vitu vingi sana ambavyo vinaagizwa kutoka nje ya Afrika, wakati vipo kwa wingi sana kwenye bara hili. Itakuwa ni uongo ukikana kwamba hujaona bidhaa za kigeni kwenye maduka mbali mbali. Huu mkataba wa AfCFTA utarudisha balance, kwa mfano maziwa kutoka viwanda vya Kenya yatapata soko Afrika magharibi. Sidhani ushirikiano wa nchi 50 za Afrika ni jambo la kupuuzilia virahisi.
 
Kina nani walionuna, mbona unawashwa.
Kuwa mpole budah na amini amemaanisha indirect "kununa" maana nilifuatilia mkutano ule ambao Kagame bado alikuwa Chairman akajaribu sana na baadhi ya viongozi wenzake kuishauri na kuishawishi Nigeria kukubaliana na kujiunga na nchi zilizotia saini wakawa wanajivuta vuta sana nahisi baada ya Buhari kurudi madarakani kajifunza na kuelewa umuhumu wake.
 
Jaguar anataka sio Wakenya wanataka...mbiba lugha unayojivunia inakuwa ngumu kwako kuielewa?
Nyie ndio wabaguzi wakubwa, angalia vile umeingia kwenye uzi huu kwa hasira. Ni Mwafrika mgani amepigwa au kubaguliwa Kenya ukilinganisha na Wakenya wanaobaguliwa Tanzania? Wacha unafiki na umbea.
Nchi yenu ndiye mbaguzi mkubwa haijangia kwenye huu mkataba wa kuwaunganisha Waafrika wote.
Jaguar amejiangusha sana na watu wa county yake. Ila we shall overcome.
 
Hawa jamaa wanapenda sana kutembelea nyota yetu
Tanzanite walijifanya yao,mlima Kilimanjaro wanajifanya upo kwao na sasa wanataka kukifanya kiswahili kiwe chao
Embu badilika Ndugu i don't think pointing finger to others makes a change, inabidi tujiunge kwa pamoja kwa nafasi zetu tofauti kutetea na kushawishi matumizi ya Kiswahili na kujenga uchumi endelevu kwa taifa na jamii zetu bila biasness.
 
Yote ilikuwa inaitwa Rhodesia,

Zambia ni jina la hiyo nchi hata kabla ya miungu yenu Wakenya kurusha miguu yao Africa na lilitokana na mto Zambezi mkubwa

Zimbabwe ni geographical name maarufu vilevile kama Zambia na ilikuwa ni mji mkubwa sana wa washona waliouita the great Zimbabwe kabla ya Cecil Rhodes kuingia.

Unazidi kunipa uhakika kwamba umevurugwa pakubwa na miungu yako.

Jina la Zambia limebuniwa 1964 wakati wanapata uhuru, hivyo mzungu tayari alikua ameshakuja na kuchora mipaka yake, halafu sikuelewi unaposema tunamuabudu mzungu, ilhali nyie hapo ndio mnaonyesha kabisa mkoloni kawavuruga maana mumeendelea kung'ang'ania mipaka aliowacha kama amewachorea.
Sisi wengine wote Afrika tumekubaliana kufunguliana kibiashara, nyie mumeendela kununa na kung'ang'ania, raslimali zenu zote zinaliwa na huyo huyo mkoloni, yeye alikuja akagundua gesi kwenu wakati nyie mlikua mnapanda mihogo bila kujua mna gesi, amechuma na kuwaacha maskini hoi. Nchi yote hiyo yenye kila kitu lakini maskini wa kutupwa.
 
Kuna utofauti sana Kati ya Maskini wa Kenya na maskini wa Tanzania.
Maskini wa Kenya anaishi kwenye nyumba ya bati,anavaa Kama chokoraa,hana uhakika wa kumiliki shamba au kiwanja,huduma za matibabu ni pasua kichwa.
But maskini wa Tanzania anaishi kwenye nyumba ya kiungwana,anamudu mavazi mazuri,ana possibility ya kuwa na shamba ama kiwanja,ni rahisi kupata huduma ya matibabu.
Niliwahi kuishi Kenya kiukweli nilitokwa na machozi the way they live.

Maskini ni maskini, hamna afadhali wa kule kuliko wa huku, nimeshi Tanzania pia, nimekatiza mikoa na wilaya nyingi zaidi ya Watanzania wengi, naifahamu Tanzania vizuri sana, nimeona umaskini wa ajabu huko, tatizo wengi mkivimbiwa ubwabwa hapo Dar mnabweteka na kudhani kila Mtanzania anaishi hayo maisha.

Watanzania wengi wamebanwa na umaskini hadi wamejaa Kenya wakiomba omba pembezoni mwa barabara zetu. Tanzania ndio nchi pekee ukanda huu ambayo raia wake wanavuka mpaka na kuwa omba omba kwenye barabara za nchi za watu. Sijaona yeyote kutoka Somalia au Sudan ambako hawana amani, kutwa vita.
Inashangaza sana raslimali zote hizo hazimfaidi Mtanzania wa kawaida...hebu tazama hii video.

Jina la Zambia limebuniwa 1964 wakati wanapata uhuru, hivyo mzungu tayari alikua ameshakuja na kuchora mipaka yake, halafu sikuelewi unaposema tunamuabudu mzungu, ilhali nyie hapo ndio mnaonyesha kabisa mkoloni kawavuruga maana mumeendelea kung'ang'ania mipaka aliowacha kama amewachorea.
Sisi wengine wote Afrika tumekubaliana kufunguliana kibiashara, nyie mumeendela kununa na kung'ang'ania, raslimali zenu zote zinaliwa na huyo huyo mkoloni, yeye alikuja akagundua gesi kwenu wakati nyie mlikua mnapanda mihogo bila kujua mna gesi, amechuma na kuwaacha maskini hoi. Nchi yote hiyo yenye kila kitu lakini maskini wa kutupwa.
Hahaha

Kazi ipo

Hivi Unajua kisa cha Baba wa taifa la Tanzania kutofautiana kabisa na Kenyatta jambo moja kubwa ilikuwa ni baada ya Kenyatta kukataa kata katu kuunganisha Kenya na Tanzania na nchi nyingine ziwe nchi moja?

Na inawapasa kati ya mambo ambayo mnatakiwa mumchukie Kenyatta ni kukataa hii offer ya Nyerere na kati ya mambo Watanzania tunapaswa kumkosoa Nyerere ni kufikiria hili suala (sio baya lakini ni kwa wrong people)

Fikiria saivi kungekuwa hakuna tofauti kati ya mkazi wa Turkana jangwani mle na mkazi wa Morogoro peponi, yaani mtu kutoka Wajiir angeweza kwenda Chunya kuanzisha mgodi wake wa madini ya dhahabu kama waunguja wanavyotoka unguja na kumiliki biashara na utajiri Kigoma.

Nyerere dhamira yake ilikuwa safi kabisa tena alimuambia Kenyatta mimi nipo tayari hata kesho wewe uwe Rais kabisa wa hiyo unified political federation lakini Mungu alivyo waajabu na alikua akituwazia watamzania mema aliweka moyo mgumu kwa Kenyatta

Na hivyo hivyo Nyerere alitaka kwa Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Zimbabwe mpaka South Africa in fact SADC ya kwanza kabisa iliundwa Tanzania japo ile ilikuwa ni SADC ya kijeshi au ukombozi wa nchi za kusini, target ikiwa kuja kuunda dola moja ndio maana Nyerere alijitoa kwa vyote, then baadae ndio ikawa economic oriented SADC lakini ni wazo la Nyerere kabisa

Sasa kati ya Kenya na Tanzania nani mwenye uhalali wa kumuita mwenzake alikumbatia mipaka ya kikoloni? Na ya heri ukumbatie mipaka ya ukoloni kuliko kukumbatia mipaka ya ukabila sababu hapo unafanya akili ya mkoloni iwe bora yako mara million.

Kuhusu ugunduzi wa gas madini, vyote hivi viligunduliwa na Nyerere miaka ya 60 huko, kitu Nyerere Alisema ni kwamba "hizi rasilimali za ardhini ziachwe hivi hivi mpaka watoto wetu watakapopata maarifa na uwezo wa kuvitumia wenyewe kwa manufaa"

Na kwa kipindi chote Nyerere alivyokuwa hai hakukuwa na company yoyote ya kigeni ya uchimbaji wa kitu chochote Tanzania bali baada ya Nyerere kufa tu ndio huo mwiko ulivunjwa, kwa hiyo kusema tulikuwa tukipanda mihogo tukose kujua kilichomo chini inaonesha ni jinsi gani unavyokurupuka, pale Dodoma ipo maktaba kubwa kuliko zote Africa ya geological arrangements za Tanzania na pale University of Dar es salaam tokea enzi ya mjerumani 18000s mpaka leo kwa hiyo kila kitu kilijulikana kilipo kila eneo.
 
😀 😀 😀 Watoto wenu ni Wazungu wanaotoroka na Dhahabu na Tanzanite??? CCM na viongozi wengine wamekuwa wakihepa na madini yenu tangu enzi za huyo Nyerere labda uwe kichwa maji kutoweza kuelewa hayo.
 
Back
Top Bottom