Sam Gidori
Senior Member
- Sep 7, 2020
- 165
- 417
Serikali ya Nigeria imefungia kwa muda usiojulikana huduma za Mtandao wa Kijamii wa Twitter kwa madai ya Mtandao huo kutumika kuhatarisha uthabiti wa taifa hilo.
Tangazo rasmi la kufungiwa kwa mtandao huo limetolewa siku ya Ijumaa na Waziri wa Habari na Utamaduni, Alhaji Lai Mohammed kupitia akaunti ya Twitter ya Wizara hiyo.