Ndio tulienda Kenya, Ethiopia, Nigeria, South Africa na Morocco kabla yakuanza ujenzi. Tulienda kuangalia challenges wanazo zipata kabla ya sisi kuanza ujenzi. Ndo maana ya kwetu itakuwa fenced kwenye maeneo wanaoishi watu pamoja na sehemu za marisho ya mifugo.Kumbe tulienda sisi Kwanza huko Nigeria?
Kwenye BRT mlikuja kujifunza nini ?? ๐๐ Mkaamua kuja na BRT ONLY. Soon utasikia ujenzi wa Tram Dodoma...๐๐ Dodoma na Dar kuna plan ya Tram. Lakini itaanza Dodoma construction yake very soon.hahahaha tunajifunza nn toka kwa nchi ldc
Dodoma tram ujenzi unaanza lini?Kwenye BRT mlikuja kujifunza nini ?? ๐๐ Mkaamua kuja na BRT ONLY. Soon utasikia ujenzi wa Tram Dodoma...๐๐ Dodoma na Dar kuna plan ya Tram. Lakini itaanza Dodoma construction yake very soon.
why kenya don't afford High-speed electric railway while the Giant nation like the United Tanzania, south Africa morroco and algeria does??hahahaha tunajifunza nn toka kwa nchi ldc
Haya hongeraKilicho wafurahisha zaidi ni Tanzania kuweza kutumia pesa zake za ndani kutekeleza mradi. Ningeomba na Kenya mtutembelee. Mje kujifunza kama Nigeria.
Kwenye awamu ya Magufuli. Wamesha iweka kwenye plan tiyali. Contractor Yapi Merkezi wa SGR amesema anauweza mradi kwa bei nafuu sana. Tram zote za Morocco na Algeria Africa kafanya yeye kazi. Yapi Merkezi ni wazuri sana. Wameamua kuipendelea Tanzania.Dodoma tram ujenzi unaanza lini?
Hatuongelei tuzo. Tunaongelea kuja kujifunza. Kama niswala la tuzo zipo nyingi tu kwenye miradi mingi tofauti. Tunaongelea swala lakujifunza. Next is South Korea the best friend of Kenya than Tanzania. Kawapa tuzo yakupongeza unyonyaji wa China. ๐๐ Sisi huku South Korea anamwaga tu pesa.Kenya imepewa tuzo la SGR kule south korea kwa kongamano la AfDB nyinyi mnaongelea kusifiwa na waziri wa Nigeria, nchi ambayo haijulikani kwa miundombinu
Hakuna asiyejua hiyo historia. Ndo maana Magufuli alisema viongozi wamekuwa wakihujumu juhudi zakuamia DodomaKama kawaida Ramani ya Dodoma ilitumika kujengea Mji wa Abuja, wanaigeria walifanya practical sisi tukabaki na Majungu. Halafu tulipokwenda Abuja kutaka kujua mji wao waliujenga vipi na mpaka kufanikiwa kuhamisha mji mkuu kutoka Lagos kwenda Abuja. Wanaigeria walitushangaa na kutuambia kuwa tulitumia Ramani yenu ya mji wa Dodoma mliotupa, Watanzania walioenda kule kujifunza waliona aibu.
Kuna tofauti kati ya mtu kuja kujifunza kufadhili mradi mkubwa na kuja kujifunza kujenga mradi. Naigeria walikua wanataka financing model tuHatuongelei tuzo. Tunaongelea kuja kujifunza. Kama niswala la tuzo zipo nyingi tu kwenye miradi mingi tofauti. Tunaongelea swala lakujifunza. Next is South Korea the best friend of Kenya than Tanzania. Kawapa tuzo yakupongeza unyonyaji wa China. ๐๐ Sisi huku South Korea anamwaga tu pesa.
Mradi mpya unaojengwa kwa pesa za South Korea bureee ! ๐๐๐ Muda wowote mkandarasi anatangazwa. South Korea huyooo๐๐๐View attachment 786261 View attachment 786264
Mwaka huu wanamalizia feasibility study na tender inatanganzwa. View attachment 786267
Evidence please !! ๐๐ Utafikili ulikuwepo. Pitia upya hiyo video๐๐Kuna tofauti kati ya mtu kuja kujifunza kufadhili mradi mkubwa na kuja kujifunza kujenga mradi. Naigeria walikua wanataka financing model tu
wacha uongo, Reli ya Mozambique ndo imepata award.Kenya imepewa tuzo la SGR kule south korea kwa kongamano la AfDB nyinyi mnaongelea kusifiwa na waziri wa Nigeria, nchi ambayo haijulikani kwa miundombinu
Tram ni nini?Kwenye awamu ya Magufuli. Wamesha iweka kwenye plan tiyali. Contractor Yapi Merkezi wa SGR amesema anauweza mradi kwa bei nafuu sana. Tram zote za Morocco na Algeria Africa kafanya yeye kazi. Yapi Merkezi ni wazuri sana. Wameamua kuipendelea Tanzania.
Yapi Merkezi Tram of MoroccoView attachment 786237 View attachment 786238 View attachment 786241 View attachment 786242
Hii niya mji mwingine waliojenga Morocco View attachment 786244
Hii ndo waliwajengea AlgeriaView attachment 786245
reli ya Mozambique ilishinda infrastructure deal of the year... Ilicho shinda Kenya ni award nyengine ya kivyake ambayo huangalia ni nchi gani imefanya miradi ya maana mwaka mzima kwa sector zote ...barabara, reli, bandari, anga.....wacha uongo, Reli ya Mozambique ndo imepata award.
wacha uongo, Reli ya Mozambique ndo imepata award.