Nigeria yaipongeza Tanzania kwa ujenzi wa SGR

Nigeria yaipongeza Tanzania kwa ujenzi wa SGR

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kilicho wafurahisha zaidi ni Tanzania kuweza kutumia pesa zake za ndani kutekeleza mradi. Ningeomba na Kenya mtutembelee. Mje kujifunza kama Nigeria.
 
Kumbe tulienda sisi Kwanza huko Nigeria?
Ndio tulienda Kenya, Ethiopia, Nigeria, South Africa na Morocco kabla yakuanza ujenzi. Tulienda kuangalia challenges wanazo zipata kabla ya sisi kuanza ujenzi. Ndo maana ya kwetu itakuwa fenced kwenye maeneo wanaoishi watu pamoja na sehemu za marisho ya mifugo.
 
hahahaha tunajifunza nn toka kwa nchi ldc
Kwenye BRT mlikuja kujifunza nini ?? 😀😀 Mkaamua kuja na BRT ONLY. Soon utasikia ujenzi wa Tram Dodoma...😀😀 Dodoma na Dar kuna plan ya Tram. Lakini itaanza Dodoma construction yake very soon.
 
Kwenye BRT mlikuja kujifunza nini ?? 😀😀 Mkaamua kuja na BRT ONLY. Soon utasikia ujenzi wa Tram Dodoma...😀😀 Dodoma na Dar kuna plan ya Tram. Lakini itaanza Dodoma construction yake very soon.
Dodoma tram ujenzi unaanza lini?
 
Dodoma tram ujenzi unaanza lini?
Kwenye awamu ya Magufuli. Wamesha iweka kwenye plan tiyali. Contractor Yapi Merkezi wa SGR amesema anauweza mradi kwa bei nafuu sana. Tram zote za Morocco na Algeria Africa kafanya yeye kazi. Yapi Merkezi ni wazuri sana. Wameamua kuipendelea Tanzania.

Yapi Merkezi Tram of Morocco
dsc_4225.jpg
Casablanca_Tramway.jpg
Tramway-Casablanca.jpg
tramway-casa-2013-01-11.jpg

Hii niya mji mwingine waliojenga Morocco
image3.jpg

Hii ndo waliwajengea Algeria
Alger-tramway_JeanFrancoisMauboussin_RATP.jpg
 
Kenya imepewa tuzo la SGR kule south korea kwa kongamano la AfDB nyinyi mnaongelea kusifiwa na waziri wa Nigeria, nchi ambayo haijulikani kwa miundombinu
 
Kenya imepewa tuzo la SGR kule south korea kwa kongamano la AfDB nyinyi mnaongelea kusifiwa na waziri wa Nigeria, nchi ambayo haijulikani kwa miundombinu
Hatuongelei tuzo. Tunaongelea kuja kujifunza. Kama niswala la tuzo zipo nyingi tu kwenye miradi mingi tofauti. Tunaongelea swala lakujifunza. Next is South Korea the best friend of Kenya than Tanzania. Kawapa tuzo yakupongeza unyonyaji wa China. 😀😀 Sisi huku South Korea anamwaga tu pesa.
Mradi mpya unaojengwa kwa pesa za South Korea bureee ! 😀😀😀 Muda wowote mkandarasi anatangazwa. South Korea huyooo😀😀😀
drj_0.jpg
KOREA.jpg

Mwaka huu wanamalizia feasibility study na tender inatanganzwa.
selander-construction-400x300.jpg
 
Kama kawaida Ramani ya Dodoma ilitumika kujengea Mji wa Abuja, wanaigeria walifanya practical sisi tukabaki na Majungu. Halafu tulipokwenda Abuja kutaka kujua mji wao waliujenga vipi na mpaka kufanikiwa kuhamisha mji mkuu kutoka Lagos kwenda Abuja. Wanaigeria walitushangaa na kutuambia kuwa tulitumia Ramani yenu ya mji wa Dodoma mliotupa, Watanzania walioenda kule kujifunza waliona aibu.
 
Hakuna asiyejua hiyo historia. Ndo maana Magufuli alisema viongozi wamekuwa wakihujumu juhudi zakuamia Dodoma
Hawamu yake imeamua na tunasonga mbele.
 
Hatuongelei tuzo. Tunaongelea kuja kujifunza. Kama niswala la tuzo zipo nyingi tu kwenye miradi mingi tofauti. Tunaongelea swala lakujifunza. Next is South Korea the best friend of Kenya than Tanzania. Kawapa tuzo yakupongeza unyonyaji wa China. 😀😀 Sisi huku South Korea anamwaga tu pesa.
Mradi mpya unaojengwa kwa pesa za South Korea bureee ! 😀😀😀 Muda wowote mkandarasi anatangazwa. South Korea huyooo😀😀😀View attachment 786261 View attachment 786264
Mwaka huu wanamalizia feasibility study na tender inatanganzwa. View attachment 786267
Kuna tofauti kati ya mtu kuja kujifunza kufadhili mradi mkubwa na kuja kujifunza kujenga mradi. Naigeria walikua wanataka financing model tu
 
Kuna tofauti kati ya mtu kuja kujifunza kufadhili mradi mkubwa na kuja kujifunza kujenga mradi. Naigeria walikua wanataka financing model tu
Evidence please !! 😀😀 Utafikili ulikuwepo. Pitia upya hiyo video😀😀
 
Kenya imepewa tuzo la SGR kule south korea kwa kongamano la AfDB nyinyi mnaongelea kusifiwa na waziri wa Nigeria, nchi ambayo haijulikani kwa miundombinu
wacha uongo, Reli ya Mozambique ndo imepata award.
 
Kwenye awamu ya Magufuli. Wamesha iweka kwenye plan tiyali. Contractor Yapi Merkezi wa SGR amesema anauweza mradi kwa bei nafuu sana. Tram zote za Morocco na Algeria Africa kafanya yeye kazi. Yapi Merkezi ni wazuri sana. Wameamua kuipendelea Tanzania.

Yapi Merkezi Tram of MoroccoView attachment 786237 View attachment 786238 View attachment 786241 View attachment 786242
Hii niya mji mwingine waliojenga Morocco View attachment 786244
Hii ndo waliwajengea AlgeriaView attachment 786245
Tram ni nini?
 
wacha uongo, Reli ya Mozambique ndo imepata award.
reli ya Mozambique ilishinda infrastructure deal of the year... Ilicho shinda Kenya ni award nyengine ya kivyake ambayo huangalia ni nchi gani imefanya miradi ya maana mwaka mzima kwa sector zote ...barabara, reli, bandari, anga.....

President Uhuru Kenyatta has been declared the winner of this year’s African award on transport and road infrastructure.
In a ceremony in Dakar, Senegal, yesterday, the Africa Road Builders awarded Uhuru the 2018 Babacar Ndiaye for Jubilee’s projects in railway, road, air as well as a nationwide street lighting.
The President of Media for Infrastructure and Finance in Africa Adama Wade cited the Mombasa–Nairobi Standard Gauge Railway as major project that has had immense impact.
ALSO READ: President Uhuru Kenyatta to address the nation
“The SGR has reduced costs of travelling between the two cities by half and at the same time taking half of the time for the trip,” he said.
While congratulating President Uhuru Kenyatta, the selection committee announced that the presentation of the trophy will take place on May 23 in Busan, South Korea, during the the African Development Bank Bank annual meeting.
“We thank and congratulate the AfDB and its President Dr Akinwumi Adesina for putting the issue of roads and transport high on its agenda through its ‘High 5 to Transform Africa’ programme,” said Mr Wade.
Advertisement
Avoid fake news! Subscribe to the Standard SMS service and receive factual, verified breaking news as it happens. Text the word 'NEWS' to 22840
The General Commissionner of Africa Road Builders Barthélemy Kouame noted that transport networks, like blood vessels, must not be clogged.
He congratulated Kenya for the efforts to improve transport and to foster regional growth through such projects as the Lamu Port.
“We note the crucial role Kenya is playing as a commercial hub of East and Central Africa and the investment in big infrastructure projects to live up to the status,” he said.
 
Back
Top Bottom