Nigeria yaipongeza Tanzania kwa ujenzi wa SGR

Evidence please !! 😀😀 Utafikili ulikuwepo. Pitia upya hiyo video😀😀
nionyeshe kilometer moja ambapo treni inapita juu ya SGR ndania ya Tz alafu ntakupa evidence
 
Kiukwel kiongoz wetu analeta maendeleo makubwa kwa mda mfup na hamna kiongoz alieleta maendeo kwa mda mfup kam magufuri lakin cha kushangaza kwann baadhi ya watanzania kutoka nje ya nchi wanaitaji tuandamane kumuondoa magufuli.. tena wanamuita ********
 
Kenya imepewa tuzo la SGR kule south korea kwa kongamano la AfDB nyinyi mnaongelea kusifiwa na waziri wa Nigeria, nchi ambayo haijulikani kwa miundombinu

Tuoneshe huo UTHIBITISHO.
 
But not the financing part that award went to Nacala corridor infrastructure.
 
Wacha upumbavu wa kulalamika lalamika sababu ya kutohamia Dodoma inajulikana na ni vita ya Uganda iliyotugharimu uchumi.
 
TANZANIA MUST BE ECONOMIC POWER HOUSE YHE THE SAME AS SOUTH AFRICA BUT OUR DISORGANIZED GOVERNMENT LET US DOWN# I HATE THIS COUNTRY @,BOTSWANA ,CHILE THERE BETTER OFF THAN US@,POOR GOVERNMENT PLANT TOO MUCH POLITICS
 
megafooli amepanick ndo maana anazidi kukurupuka! fununu zinasema wiki ijayo anatinga bandarini kupiga show.. acha tusubir shtukiza shtukiza
 
Sikuzote mti wenye mahebe ndoupigwa mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…