Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
nionyeshe kilometer moja ambapo treni inapita juu ya SGR ndania ya Tz alafu ntakupa evidenceEvidence please !! 😀😀 Utafikili ulikuwepo. Pitia upya hiyo video😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nionyeshe kilometer moja ambapo treni inapita juu ya SGR ndania ya Tz alafu ntakupa evidenceEvidence please !! 😀😀 Utafikili ulikuwepo. Pitia upya hiyo video😀😀
Naona umeanza kujichanganya. Pitia tena video.nionyeshe kilometer moja ambapo treni inapita juu ya SGR ndania ya Tz alafu ntakupa evidence
hahahaha tunajifunza nn toka kwa nchi ldc
Kenya imepewa tuzo la SGR kule south korea kwa kongamano la AfDB nyinyi mnaongelea kusifiwa na waziri wa Nigeria, nchi ambayo haijulikani kwa miundombinu
But not the financing part that award went to Nacala corridor infrastructure.reli ya Mozambique ilishinda infrastructure deal of the year... Ilicho shinda Kenya ni award nyengine ya kivyake ambayo huangalia ni nchi gani imefanya miradi ya maana mwaka mzima kwa sector zote ...barabara, reli, bandari, anga.....
President Uhuru Kenyatta has been declared the winner of this year’s African award on transport and road infrastructure.
In a ceremony in Dakar, Senegal, yesterday, the Africa Road Builders awarded Uhuru the 2018 Babacar Ndiaye for Jubilee’s projects in railway, road, air as well as a nationwide street lighting.
The President of Media for Infrastructure and Finance in Africa Adama Wade cited the Mombasa–Nairobi Standard Gauge Railway as major project that has had immense impact.
ALSO READ: President Uhuru Kenyatta to address the nation
“The SGR has reduced costs of travelling between the two cities by half and at the same time taking half of the time for the trip,” he said.
While congratulating President Uhuru Kenyatta, the selection committee announced that the presentation of the trophy will take place on May 23 in Busan, South Korea, during the the African Development Bank Bank annual meeting.
“We thank and congratulate the AfDB and its President Dr Akinwumi Adesina for putting the issue of roads and transport high on its agenda through its ‘High 5 to Transform Africa’ programme,” said Mr Wade.
Advertisement
Avoid fake news! Subscribe to the Standard SMS service and receive factual, verified breaking news as it happens. Text the word 'NEWS' to 22840
The General Commissionner of Africa Road Builders Barthélemy Kouame noted that transport networks, like blood vessels, must not be clogged.
He congratulated Kenya for the efforts to improve transport and to foster regional growth through such projects as the Lamu Port.
“We note the crucial role Kenya is playing as a commercial hub of East and Central Africa and the investment in big infrastructure projects to live up to the status,” he said.
Wacha upumbavu wa kulalamika lalamika sababu ya kutohamia Dodoma inajulikana na ni vita ya Uganda iliyotugharimu uchumi.Kama kawaida Ramani ya Dodoma ilitumika kujengea Mji wa Abuja, wanaigeria walifanya practical sisi tukabaki na Majungu. Halafu tulipokwenda Abuja kutaka kujua mji wao waliujenga vipi na mpaka kufanikiwa kuhamisha mji mkuu kutoka Lagos kwenda Abuja. Wanaigeria walitushangaa na kutuambia kuwa tulitumia Ramani yenu ya mji wa Dodoma mliotupa, Watanzania walioenda kule kujifunza waliona aibu.
Sikuzote mti wenye mahebe ndoupigwa maweKiukwel kiongoz wetu analeta maendeleo makubwa kwa mda mfup na hamna kiongoz alieleta maendeo kwa mda mfup kam magufuri lakin cha kushangaza kwann baadhi ya watanzania kutoka nje ya nchi wanaitaji tuandamane kumuondoa magufuli.. tena wanamuita ********