Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kuota ndoto za mchana.....Kufuatia Nigeria kufungwa goli moja bila leo sasa wametolewa rasmi maana hata wakishinda mechi ya mwisho wataishia kupata pointi tano tu wakati MISRI wana pointi saba.
Kimahesabu ni Tanzania peke yake inaeweza inaweza kuito MISRI kama tutaifunga NIGERIA kwao na kuja kuwashughulikia waarabu mechi ya marudiano ambapo tunaweza fikisha pointi saba kama za MISRI. Issue itakuja kwenye uwiano mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa.
HIVYO NI SAWA NA KUSEMA TIKETI YA STARS KWENDA AFCON ipo MIKONONI MWAO
Nigeria haijashinda mechi hata moja yani akubali kuondoka na vipointi viwili tuu? Naona watakomaa sana kuondoka na ushindi kwakuwa wanacheza kwao. Draw ya hapa ndo inatuweka katika wakati mgumu tena tupo ugenini na bahati mbaya sisi hatuna utamaduni wa kusafiri na timu yetu kuishangilia ikiwa ugenini kwasababu mbalimbali kama uchumi mdogo nk...sasa hv kundi la stars inaenda timu moja badala ya 2 nafasi bado ngumu hila nigeria sababu washapoteza wasitukomalie sana.
h
hivi kinacheza kiwango au dhamira, acheni kuwatia watu pressure, waembieni hao wanaosimamia mpira wajenge kiwango na sio kuomba dua wakati miguuni mpira haukai, acheni kufikiria mambo hayo ya kuwashinda MISRI na Naigeria kwa kuomba dua.
Mkuu makutu sio nje ndani tena, kumbuka Stars ilienda Misri baada ya timu yetu kutoka kwenye mashindano ya Cosafa ambako tulipigwa game zote kama sikosei, na kule Misri tukachapwa goli 3-0.Ndoto za mchana kuwafunga misri nje ndani. Japo natamani sana iwe hivyo lakini sio rahisi
Africa mashariki ipi yenye waarabu we kiaziEbu naomba kukumbushwa historia ya timu yetu ya Taifa Stars na timu za africa mashariki (waarabu)😱😱😱
Kocha mwenyewe Mkwasa anadai mshahara wake wa zaidi ya miezi 6,milioni mia mbili.Morali ataitoa wapi?Yote yanawezekana,vijana wakaze misuli.
Kocha Mkwasa dhihirisha Dunia kwamba unaweza.
Hujakosea mkuu Chizi Maarifa, labda mashindano hayo tunaweza kufanya vizuri lakini sio kwenye mpira wa miguuKatika hali ya kawaida haiwezekani MAJI KUPANDA MLIMA.
ahahahahahahah mkwakwan eee?Maandalizi yaanze sasa ikiwa na mipango nje ya uwanja, waarabu hawa wakija kipindi cha joto kama sasa mechi ichezeshwe saa saba mchana kwenye jua kali la utosi, hapo hakuna kuomba poo ya kunywa maji, na ingefaa zaidi mechi inachezewa kama uwanja wa Mkwakwani 'jaruba la mpunga' kama unakidhi vigezo vya CAF, basi lao la kusafiri kwenda Tanga lipate pancha mara kumi na tano hata kama wakikodi wao wenyewe, wakiwa kwao hao ni watu dhulumati sana.