jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Usipoamini sio tatizo mkuu kwasababu ni njia umeamua kufuata, shida inakuja kuwapumbaza wengine kwa uongo usio na ushahidi hapa ndio panashindikana kupanyamazia.
Matendo yenu yako wazi,jamii zingine zitaishi kwa amani sana kama jamii hiyo hakuna waislamu wengi,ila wakiwa waislamu wengi kwenye jamii husika wasio waisalamu huteseka sana,zenji tu hapo watu wanachomewa makanisa mnataka wakaabudu wapi?achilia mbali kuwanyima ardhi.