Nigerian movie

Nigerian movie

Binafsi kuanzia Sasa n shabik nambar uno wa muvi na series za kinaija
Hawa jamaa wanajua na wanakuja kwa Kasi ya ajabu
Kimzki wametushinda hata muvi pia wametushinda
Ukitaka kuamin maneno yangu tafuta hizi baadh tu
Gangs of Lagos
Hey you
Far from home
Shanty town

NB. Ukicomment ushuzi nakutukana tusi jipya
naomba unitukane hayo matusi mapya please!
 
Back
Top Bottom