East life
Member
- Mar 26, 2021
- 43
- 46
Wakuu nawasalimu kwa salamu ya jukwaa hili
Nimeamuwa kuleta uzi huu ili tuweze kuhadithiana matukio tunayokutana ama kuyafanya hapa dar es salaam usiku liwe la kusikitisha au la kuchekesha
Langu ni hili
Siku moja usiku wakati narudi home tokea kwenye harakati zangu maeneo ya ilala kwenye baa maarufu iitwayo miami nilikuta tukio la birthday likiwa linaendelea njee ya baa hiyoo nilipata muona. Dada mmoja akiwa amelewa chakari yaani hafai mpaka aanza kuto haja hapo hapo wenzie wakaanza kumwagia maji ili azinduke lakini wapi alimaliza haja zake hapo hazarani akiwa hajitbui. Kiukweli nilicheka sanaa ila baadae nilimuonea huruma pombe si chai.
Je lipi tukio ulilowahi lishuudia hikakuacha hoi au na mshangao