Night at Dar es Salaam

Night at Dar es Salaam

East life

Member
Joined
Mar 26, 2021
Posts
43
Reaction score
46
Wakuu nawasalimu kwa salamu ya jukwaa hili

Nimeamuwa kuleta uzi huu ili tuweze kuhadithiana matukio tunayokutana ama kuyafanya hapa dar es salaam usiku liwe la kusikitisha au la kuchekesha

Langu ni hili

Siku moja usiku wakati narudi home tokea kwenye harakati zangu maeneo ya ilala kwenye baa maarufu iitwayo miami nilikuta tukio la birthday likiwa linaendelea njee ya baa hiyoo nilipata muona. Dada mmoja akiwa amelewa chakari yaani hafai mpaka aanza kuto haja hapo hapo wenzie wakaanza kumwagia maji ili azinduke lakini wapi alimaliza haja zake hapo hazarani akiwa hajitbui. Kiukweli nilicheka sanaa ila baadae nilimuonea huruma pombe si chai.

Je lipi tukio ulilowahi lishuudia hikakuacha hoi au na mshangao
 
Hongera kwa kuishi jiji la ndoto zangu natamanigi Sana kuish huko ila nature Inanikataa naishia kusoma TU na kutembea ila pazur aseee hio moroco mpaka mbezi kule Beach ya jangwan,the waves,kwa mage.....mna enjoy Sana wana dar es salaam nyokoo zenu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana baba. Njoo dar uone vituko
 
Wakuu nawasalimu kwa salamu ya jukwaa hili

Nimeamuwa kuleta uzi huu ili tuweze kuhadithiana matukio tunayokutana ama kuyafanya hapa dar es salaam usiku liwe la kusikitisha au la kuchekesha

Langu ni hili

Siku moja usiku wakati narudi home tokea kwenye harakati zangu maeneo ya ilala kwenye baa maarufu iitwayo miami nilikuta tukio la birthday likiwa linaendelea njee ya baa hiyoo nilipata muona. Dada mmoja akiwa amelewa chakari yaani hafai mpaka aanza kuto haja hapo hapo wenzie wakaanza kumwagia maji ili azinduke lakini wapi alimaliza haja zake hapo hazarani akiwa hajitbui. Kiukweli nilicheka sanaa ila baadae nilimuonea huruma pombe si chai.

Je lipi tukio ulilowahi lishuudia hikakuacha hoi au na mshangao
Ujawai kushuhudia Malaya akipigwa mtungo
 
[emoji23][emoji23]nilishuhudia bodaboda akimtumisha salam nyepe Barabarani kabisa njia ya kutokea bamaga kwenda morocco
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duhh
 
Dar konyoo cku mojaa midaa ya saa saba usiku napitaaa sinza makaburini ,nakashuhudiaa wanaume wanakulaa juu ya kaburi
 
Hongera kwa kuishi jiji la ndoto zangu natamanigi Sana kuish huko ila nature Inanikataa naishia kusoma TU na kutembea ila pazur aseee hio moroco mpaka mbezi kule Beach ya jangwan,the waves,kwa mage.....mna enjoy Sana wana dar es salaam nyokoo zenu.
Hamna sehemu mbovu kuishi kama Dar. Labda ukatembee siku kadhaa urudi zako Arusha. Kanda ya Kaskazini ndio mahali sahihi kwa watu kuishi.
 
Hongera kwa kuishi jiji la ndoto zangu natamanigi Sana kuish huko ila nature Inanikataa naishia kusoma TU na kutembea ila pazur aseee hio moroco mpaka mbezi kule Beach ya jangwan,the waves,kwa mage.....mna enjoy Sana wana dar es salaam nyokoo zenu.
Nyoko na wew🤣🤣
 
Kama mtu hajawahi kufika Arusha akiwasikiliza nyinyi ataona sehemu ya maaaaana
Kufika Arusha sio shida. Ukiishi utakubaliana na ukweli huo. Na ukifika Dar unaweza kudhani ni sehemu nzuri ila ukiishi utagundua ni sehemu ngumu sana hasa kwa wasio na jax
 
Acheni kujidanganya nyinyi.
 
Back
Top Bottom