maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Tulioko macho tusomane
Mi nko Iringa kwene chimbo moja hivi local sana wanaita holiday nakula vyangu na kuongeza idadi ya dhambi
We uko wap na unafanya nini?
Ikitokea tupo location moko tusomane ama!