Night club

Night club

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
Naombeni kujua kwa wale wanaoelewa haya mabo.
tulijikuta tukipiga story me na rafiki yangu mmoja na tuka peana changamoto ya nini cha kufanya kwa huu mji tuliopo ili tupige hela. jamaa akanipa wazo la kufungua night lub, ila wote tukkawa hatuna ufaham juu ya biashara hii.
hivyo naombeni JF mnisaidie me na rafiki yangu;
Club yenyewe sio kua eti ni kuubwa au ya imataifa kama laliga, rock till bottom, maisha n.k ilatu
sehm ambapo watu wanaweza kudance, na kunywa kwa kiingilio huku wakiwa huru na ulinzi mzuri.

Je?
1. ni vitu gani vya lazima kisheria navyotakiwa kutimiza katika night club?
2. mziki wa kawaida (sio classic saaaana) utanikost bei gan?
3. Jengo tutakodi lolote linalofaa ila tunatakiwa kulifanyaje na garama zake ni kiasi gan (mfano sound proof)
decoration, kaunta n.k
naweza nisiweze kuuliza maswali yote ya msingi il naombeni mnifahamishwe kwa kadri ya uelewa wenu.
 
mkumbwa night club dar , biashara nzuri sana kama utapata ukumbi town . of course pesa nyingi kufungua lakin inalipa
jaribu sana upate town , dar jiji limekufa kabisa mjini
 
kaka nakusha nhuri wacha na hilo wazo Kam upo Dar nakushahuri fika FUNNCITY na nenda DAR LIVE, Jifunze hapo naaminiu utaona kuwa kuna upungufu mkubwa sehemu za kuchezea watoto na kujumika na familia zao kwa miji yote tanzania. Naamini ukitoka hapo ni kutafuta Ardhi na moja kwa moja safari CHINa kwenda kufunga mzigo, Tena hata ukitaka ARTIFICIAL BEACH unaweza kupata na kuiweka Popote!( Ila naamini SWIMMING POOL kubwa(na maanisha kubwa) moja tu inatiosha Ni hayo tuu!
 
Back
Top Bottom