Niguse ninuke, nitamkumbuka Membe kama mtu jasiri na mwenye kusimamia misimamo yake

Dr James G

Senior Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
158
Reaction score
267
Binafsi nitamkumbuka Membe kama mtu jasiri na mwenye kusimamia misimamo yake hadi kifo kilipo mchukua.

Ni mwana CCM pekee aliyewahi kuikosoa serikali yake na mwenyekiti wake bila uwoga wala kupepesa macho kipind ambacho wengi hawakuweza kusema au kutoa maoni yao kama haki zao za msingi.

Niguse ninune hii ni moja ya kauli tata aliyowahi kuitoa Huyu mwanadiplomasia Nguli na kuzua minongono mingi kwenye mirandao ya kijamii.

IMG_0891.jpg

Ninachojiuliza sasa ina maana Membe angeteuliwa kugombea Urais na chama chake mwaka 2015 na akashinda ndo tungekua tumepoteza Rais apa kweli kifo ni fumbo analolijua Mungu pekee.

Mwaka2020 Jasusi mbobezi Membe aliamua kugombea urais kupitia chama cha ACT apa aliibuka na msemo wa nikishatia wino mwekundu tu jion kutakua na tafrija [emoji23] ni kazi na Bata ,huyu mwamba alikua miongoni wa watu jasiri sana awamu ya 5.

Kifo ni safari yetu sote,Apumzike kwa Amani [emoji120]
 
Binafsi nitamkumbuka Membe kama mtu jasiri na mwenye kusimamia misimamo yake hadi kifo kilipo mchukua.

ea Urais na chama chake mwaka 2015 na akashinda ndo tungekua tumepoteza Rais apa kweli kifo ni fumbo analolijua Mungu pekee.

Kifo ni safari yetu sote,Apumzike kwa Amani [emoji120]
Kweli, hakuogopa kutekwa!
 
Binafsi nitamkumbuka Membe kama mtu jasiri na mwenye kusimamia misimamo yake hadi kifo kilipo mchukua.

Ni mwana CCM pekee aliyewahi kuikosoa serikali yake na mwenyekiti wake bila uwoga wala kupepesa macho kipind ambacho wengi hawakuweza kusema au kutoa maoni yao kama haki zao za msingi.

Niguse ninune hii ni moja ya kauli tata aliyowahi kuitoa Huyu mwanadiplomasia Nguli na kuzua minongono mingi kwenye mirandao ya kijamii.

View attachment 2618831

Ninachojiuliza sasa ina maana Membe angeteuliwa kugombea Urais na chama chake mwaka 2015 na akashinda ndo tungekua tumepoteza Rais apa kweli kifo ni fumbo analolijua Mungu pekee.

Kifo ni safari yetu sote,Apumzike kwa Amani [emoji120]
Ni jasiri kwelikweli...alitaka kudhulumu mali za Musiba. Ni jasiri, akagomee pia kuchomwa moto wa milele
 
Ile hukumu hakuitoa yy ni mahakama,hukumu za haki kwa mujibu wa sheria sio dhuluma.
 
Back
Top Bottom