Niguse ninuke, nitamkumbuka Membe kama mtu jasiri na mwenye kusimamia misimamo yake

Niguse ninuke, nitamkumbuka Membe kama mtu jasiri na mwenye kusimamia misimamo yake

Binafsi nitamkumbuka Membe kama mtu jasiri na mwenye kusimamia misimamo yake hadi kifo kilipo mchukua.

Ni mwana CCM pekee aliyewahi kuikosoa serikali yake na mwenyekiti wake bila uwoga wala kupepesa macho kipind ambacho wengi hawakuweza kusema au kutoa maoni yao kama haki zao za msingi.

Niguse ninune hii ni moja ya kauli tata aliyowahi kuitoa Huyu mwanadiplomasia Nguli na kuzua minongono mingi kwenye mirandao ya kijamii.


View attachment 2618831



Ninachojiuliza sasa ina maana Membe angeteuliwa kugombea Urais na chama chake mwaka 2015 na akashinda ndo tungekua tumepoteza Rais apa kweli kifo ni fumbo analolijua Mungu pekee.

Mwaka2020 Jasusi mbobezi Membe aliamua kugombea urais kupitia chama cha ACT apa aliibuka na msemo wa nikishatia wino mwekundu tu jion kutakua na tafrija [emoji23] ni kazi na Bata ,huyu mwamba alikua miongoni wa watu jasiri sana awamu ya 5.

Kifo ni safari yetu sote,Apumzike kwa Amani [emoji120]
Hana ujasiri wowote,yaani anadai mtu billion 9?Wakati yaliyoandikwa na Musiba ni ya kweli tupu.
 
DUkitendewa kitu Kibaya utajichukulia sheria mkononi au utatafuta Wenye kutoa haki
Kinana ,na wengine wao walipotezea si wajinga. Unajua Yote Musiba alisema juu ya Membe ni kweli kabisa na wala hakuwa na haja ya kwenda mahakamani.
 
Kinana ,na wengine wao walipotezea si wajinga. Unajua Yote Musiba alisema juu ya Membe ni kweli kabisa na wala hakuwa na haja ya kwenda mahakamani.

Ukisema yalikua ya kwel unamaanisha mahakama haikutenda Haki kwa musiba,na apo unasema mahakama sio chomo cha Kukiamin kusimamia haki
 
Back
Top Bottom