Niguse ninuke, nitamkumbuka Membe kama mtu jasiri na mwenye kusimamia misimamo yake

Hana ujasiri wowote,yaani anadai mtu billion 9?Wakati yaliyoandikwa na Musiba ni ya kweli tupu.
 
Hana ujasiri wowote,yaani anadai mtu billion 9?Wakati yaliyoandikwa na Musiba ni ya kweli tupu.
Kachapwa fimbo,ile hukumu ililenga kuwaziba midomo whistleblowers,matokeo yake yeye ndio kazibwa mdomo
 
DUkitendewa kitu Kibaya utajichukulia sheria mkononi au utatafuta Wenye kutoa haki
Kinana ,na wengine wao walipotezea si wajinga. Unajua Yote Musiba alisema juu ya Membe ni kweli kabisa na wala hakuwa na haja ya kwenda mahakamani.
 
Kinana ,na wengine wao walipotezea si wajinga. Unajua Yote Musiba alisema juu ya Membe ni kweli kabisa na wala hakuwa na haja ya kwenda mahakamani.

Ukisema yalikua ya kwel unamaanisha mahakama haikutenda Haki kwa musiba,na apo unasema mahakama sio chomo cha Kukiamin kusimamia haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…