Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Nirisoma adi darasa la saba hila najuwa mambo mengi kuusu maisha. nakalibishwa masuali yenu. nivumiliaenani katika muwandiko wagu piya na ware ambawo wanakasirika nisameeni sana.karibuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masuali nini?Nakalibisha masuali nirikoseya kaka yagu
Nimekuerewa iwe....mwanzo niritaka kukasirika, niripojuwa ni wewe nikakuerewa....Nirisoma adi darasa la saba hila najuwa mambo mengi kuusu maisha. nakalibishwa masuali yenu. nivumiliaenani katika muwandiko wagu piya na ware ambawo wanakasirika nisameeni sana.karibuni?