Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
- Thread starter
- #61
Muanaume haolewi kaka yagu hanaoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akilijibu swali lako nitagNihulizeni=niulizeni???????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muanaume haolewi kaka yagu hanaoa
Sio kila hasira ni pepo ndugu yangu hata Yesu alikasirika na Mungu anakasirika.samaani sana maji ya ngudu, katika kanisa nirifunzwa nisikere watu na asira ni pepo baya hukiwa na asira ina mana una pepo baya. jitahidi kupuguza asira usikereke na mambo ya duniya yanayoyeza kutupa dhambwi mbel ya mungu?
Jitahidi kutunza kumbukumbu (a liar should have a good memory)Elii nafuanya kazi ya kuuza dunka ra muindi apa muanza kwa sasa hila niliwai kufanya kaz nyigine nyigi hata kupika ugari otelini?
Hahahami nakereka sana na staili ya uandishi wako
nifanyaje ili nisikerekeke?
HahahahahahaaaYaani umenikera tena we lijamaa sijui vip
Mfuasi wa jiwe,,,,Wewe ni Mtanzania? Unafanya kazi gani? Huu mwandiko wa kisukuma ni Makusudi au bahati mbaya? Wewe ni Mfuasi wa CCM