Nihulizeni suali lolote kuusu maisha nitajitaidi kuwanjibu

Nihulizeni suali lolote kuusu maisha nitajitaidi kuwanjibu

mimi siuzi kuku hila nauza dunka la muindi apa muanza.
 
samaani sana maji ya ngudu, katika kanisa nirifunzwa nisikere watu na asira ni pepo baya hukiwa na asira ina mana una pepo baya. jitahidi kupuguza asira usikereke na mambo ya duniya yanayoyeza kutupa dhambwi mbel ya mungu?
Sio kila hasira ni pepo ndugu yangu hata Yesu alikasirika na Mungu anakasirika.
 
swali..

umeingia JF juzi na hadi sasa una thread 203 yaani wastani wa posts 68 kila siku...hapo dukani kwa Muhindi unafanyaje kazi.!?

wewe ni mlinzi?
 
monde sijuyi apo chini humemaninsha nini kaka yagu
 
Staili yako ya uandishi imenifanya nisichangie uzi wako mkuu.
 
Kuandika hujui, hayo maswali yatajibiwa kwa vitendo!!?
Una nini!?
Ni lazima uposti??
 
Back
Top Bottom