Nihulizeni suali lolote kuusu maisha nitajitaidi kuwanjibu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe ni jembe.
 
heller ukiniita vovote ambavo moyo wako hutataka sawa tu aina shida. Sikoseyi kua makusud hila erimu yagu imefika apo nintakua najalibu kuwandika vizwuri kadili navoweza.sijaowa nina musichana mumoja ni mupenzi wagu?
 
getagwan hasante kuwa suali. Nahishi maisha ya kawahida tu nahishi kuringana na pesa nayopata kuwenye kazi yagu. Maisha yagu ni ya kawahida sana?
 
Ndg mwandiko wako hausisimui kabisa kuusoma
Hebu jitahidi kuacha hata nafasi
Najikuta nachukia kusoma.
 
dinnah samaani.sana muanzoni niriomba samaani mana najuwa uwenda kuna watu hataerewa?
 
Hahahahaha

Wacha nipitie comment za wadau kwa comment zilizo nifurahisha sina budi kucheka

Hahaha
 
heller ukiniita vovote ambavo moyo wako hutataka sawa tu aina shida. Sikoseyi kua makusud hila erimu yagu imefika apo nintakua najalibu kuwandika vizwuri kadili navoweza.sijaowa nina musichana mumoja ni mupenzi wagu?
Hahahahaha
 
dinnah hujuwe maisha ni vile unavoyapanga wewe tu ukitaka yawe mangumu rara hila ukitaka yawe mepesi fanya kaz kwa bidi.?
 
hunatakiwa kuchuguza uwone wapi hunakoseya hunaweza usirare hila ukawa unapata ela unatumiya visivo agalia na matumiz yako kama kaz unafanywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…