Nihulizeni suali lolote kuusu maisha nitajitaidi kuwanjibu

rallphery. Ujuwe kiswaili ni luga yetu hila tuna luga nyingine za nyumban huwezi kujuwa mazigira niliyotok kama turikuwa tunaongea kiswail hila nina lafiki yagu anasoma tabola ameanzwa kunifundishwa?
 
mi nakereka sana na staili ya uandishi wako

nifanyaje ili nisikerekeke?
 
Ngoja nikuweke kwenye ignore list ili usiwe unaendelea kunikera, mods wa jf mnaendekeza watu wanaofanya ujinga soon majukwaa yatapoteza mvuto
 
samaani sana maji ya ngudu, katika kanisa nirifunzwa nisikere watu na asira ni pepo baya hukiwa na asira ina mana una pepo baya. jitahidi kupuguza asira usikereke na mambo ya duniya yanayoyeza kutupa dhambwi mbel ya mungu?
 
heller ukiniita vovote ambavo moyo wako hutataka sawa tu aina shida. Sikoseyi kua makusud hila erimu yagu imefika apo nintakua najalibu kuwandika vizwuri kadili navoweza.sijaowa nina musichana mumoja ni mupenzi wagu?



mbona unabadili badili avatar yako.!? Avatar ya sasa ndiye nani...na nn kimekuvutia hadi ukai dump ile ya Mr Bean.?

una maoni yepi juu ya Mh.Rais Magufuli...ukitilia maanani anatokea kanda yako ya ziwa.!?

Unamiliki ng'ombe wangapi.!?
 
samaani sana maji ya ngudu, katika kanisa nirifunzwa nisikere watu na asira ni pepo baya hukiwa na asira ina mana una pepo baya. jitahidi kupuguza asira usikereke na mambo ya duniya yanayoyeza kutupa dhambwi mbel ya mungu?
Yaani umenikera tena we lijamaa sijui vip
 
heller nabadiri nini. nirianza kununuwa kondo na kuwa sasa ninawo 28 ninataka niwahuze muakani hili ninunuwe ngombe ata wane. raisi wetu anafanya kazi nzwuri sana turikuwa tunatowa ela tukipereka mipunga sokon kuwa sasa ni bule akuna kutoa ela. Hasante sana.?
 

wabeja

unabadili badili hiyo avatar au picha hii iliyopo hapo kwa I'd yako.!?

Huyo ndiye wewe.?
 
heller lafiki yagu ariniambia kua umu natakiwa niweke pincha ya watu wa zaman iri uwonekane musomi?
 
Sijuwi kua kweli ni ya nan hila ariweka yeye
 
Ninaweza kufanya kazi gani ikanipa 360,000 ndani ya miezi miwili?

Sina ujuzi wowote pia elimu yangu ni ya kidato cha nne.
 
Hujuwe kupata pesa ni njia lahisi au ngum ira sijui uko uripo ira ungekuwa uku hungepata iyo ela ata kwa biashara ya kuhuza kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…