Niifate Simu yangu ama Niipotezee? Maana binti kaolewa na mwanaume mwingine

Kuwa na kifua mkuu simu kitu gan achana nayo moyo wako unawivu usiotakiwa maana bint alionyesha Nia ya dhati kwako ila haukuwa interested nayeye Sasa simu yanin Tena

Achana ujanja wa kizamani kijana mwenzangu focus na maisha zaid kama unaye mwingne mpende zaidi
 
sawa mkuu
 
Ulishindwa kumfuata binti nyumbani kwao, simu utaweza kuifuata?
 
Visungura viwili akili itakukaa sawa
 
Toka uanzishe nyuzi watafuta mke, mara kwao wanataka ng'ombe kumi na mbili, mara sasa kaolewa mwingine hey,
 
We ulitaka uendelee kumuharibi? Umeitwa Oa hutaki ulitaka nini? Simu kitu gani?
 
Unadate na watoto wa shule hizo ndo shida... kafate simu kama Uliwapa wazazi wake.
 
Unaonesha nia wanakupotezea.....
Then unatulia wampate huyo mtakatifu wanaemtaka🥴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…