NIINI KIFANYIKE KUSHIBITI WEREDI WA SPORTS PUNDIT TANZANIA

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,311
Reaction score
1,220
Ndugu zangu wana soka hili tatizo mnalionaje namna alichukuliaje?mmefuatilia hawa wanaoitwa wachambuzi kwenye media mbalimbali? Yaani imekuwa ni kawaida mtu kuzungumza chochote, bila ushahidi wowote bila aibu, taarifa za kubagaza na kubananga brand za timu zetu. (Hasa,Simba na Yanga)
Je suala hili lina afya,? Ndio uhuru wa maoni ama kunahitajika kiwepo kitu au sheria au utaratibu wa mtu kuitwa mchambuzi? Kwa maana tunakoelekea sidhani kama unaelekea kuzuri. Ni maoni ikiwa ni kuboresha au kuona namna gani tunaliweka suala hili katika mazingira ambayo yata balance pande zote.Ni hayo tu kwa leo.
Cc.Dulah-wasafi media
Ngereza-Tv3
Mnolela-efm
Bullah-bongo fm
Salehe jembe-Magazeti
Geof-crown fm
Nk
Wako MAGEMAJR17
0746055137
 
Attachments

  • 1763754184755.jpg
    1763754184755.jpg
    100.3 KB · Views: 12

wanayumbishwa na wanaowafadhili , bila kubagaza timu za kariakoo watakosa kuishi vzr mjini
 
Wachambuzi wa mpira hawana faida yoyote ya maana katika jamii, hata wasipokuwa na weledi hakuna shida.
Mpira ni biashara kubwa sana l, kuliko unavyowaza kwa sasa. Punditry ni sehemu ya kuufanya mpira uongelewe na kufuatiliwa na mashabiki duniani kote.

So, kama sio shabiki huwezi kuelewa ila waliowekeza kwenye soka wanajua nini maana ya punditry.
 
na wananufaika
 
Bongo hakuna wachambuzi wa mpira bali waganga njaa tu,
Mtu akishajuwa maneno kama
-tactics,
-intensive
-low blocks
-strategies

Anajiita mchambuzi .. especially yule anayejiita Ambokile ndy kichwa panzi kabisa..
Kaweka mbele ushabiki kuliko taaluma.
 
Mpira ni biashara kubwa sana l, kuliko unavyowaza kwa sasa. Punditry ni sehemu ya kuufanya mpira uongelewe na kufuatiliwa na mashabiki duniani kote.

So, kama sio shabiki huwezi kuelewa ila waliowekeza kwenye soka wanajua nini maana ya punditry.
Tanzania watu wanapenda ujinga ujinga wa kwenye mpira, hao wachambuzi wakinyooka na kuwa waandishi habari wa kweli wanaozingatia weledi mtakosa wafuatiliaji wa huo mpira.

Pamoja na hayo mchango wa mpira kwenye uchumi wa Tanzania ni mdogo sana, faida ni chache kuliko hasara katika maendeleo kwa ujumla.
 
Ndugu zangu wana soka hili tatizo mnalionaje namna alichukuliaje?mmefuatilia hawa wanaoitwa wachambuzi kwenye media mbalimbali? Yaani imekuwa ni kawaida mtu kuzungumza chochote, bila ushahidi wowote bila aibu, taarifa za kubagaza na kubananga brand za timu zetu. (Hasa,Simba na Yanga)
Je suala hili lina afya,? Ndio uhuru wa maoni ama kunahitajika kiwepo kitu au sheria au utaratibu wa mtu kuitwa mchambuzi? Kwa maana tunakoelekea sidhani kama unaelekea kuzuri. Ni maoni ikiwa ni kuboresha au kuona namna gani tunaliweka suala hili katika mazingira ambayo yata balance pande zote.Ni hayo tu kwa leo.
Cc.Dulah-wasafi media
Ngereza-Tv3
Mnolela-efm
Bullah-bongo fm
Salehe jembe-Magazeti
Geof-crown fm
Nk
Wako MAGEMAJR17
0746055137
uchambuzi ni maoni tu ,ingekuwa unawasikiliza wakina Paul scholes na genge lake basi hawa wa bongo Wana afadhali .Uchambuzi ni maoni tu kila mtu anayo yakwake sio utalamu wala ujuzi .
 
Kushibiti❌
Kudhibiti✅

Weredi❌
Weledi ✅

Jifunze kuandika vizuri kabla hujaharibu utafutaji wa wenzio
Ni makosa tu katika uchapaji Dada!! Na ukiangalia nimeeekebisha kupitia replies hapo chini ya Uzi🏌️
 
Back
Top Bottom