Wana upeo mdogo sana. Mtu kama Saidi Kilumanga hajui hata Sweden iko bara gani.Enheee kina mkalaboko na genge lake😂🤣🙌
wanayumbishwa na wanaowafadhili , bila kubagaza timu za kariakoo watakosa kuishi vzr mjiniNdugu zangu wana soka hili tatizo mnalionaje namna alichukuliaje?mmefuatilia hawa wanaoitwa wachambuzi kwenye media mbalimbali? Yaani imekuwa ni kawaida mtu kuzungumza chochote, bila ushahidi wowote bila aibu, taarifa za kubagaza na kubananga brand za timu zetu. (Hasa,Simba na Yanga)
Je suala hili lina afya,? Ndio uhuru wa maoni ama kunahitajika kiwepo kitu au sheria au utaratibu wa mtu kuitwa mchambuzi? Kwa maana tunakoelekea sidhani kama unaelekea kuzuri. Ni maoni ikiwa ni kuboresha au kuona namna gani tunaliweka suala hili katika mazingira ambayo yata balance pande zote.Ni hayo tu kwa leo.
Cc.Dulah-wasafi media
Ngereza-Tv3
Mnolela-efm
Bullah-bongo fm
Salehe jembe-Magazeti
Geof-crown fm
Nk
Wako MAGEMAJR17
0746055137
wanafaida kwa mabosi zao tu, maana uchambuzi wao ni sawa na sie tusiojua kuchambuaWachambuzi wa mpira hawana faida yoyote ya maana katika jamii, hata wasipokuwa na weledi hakuna shida.
Mpira ni biashara kubwa sana l, kuliko unavyowaza kwa sasa. Punditry ni sehemu ya kuufanya mpira uongelewe na kufuatiliwa na mashabiki duniani kote.Wachambuzi wa mpira hawana faida yoyote ya maana katika jamii, hata wasipokuwa na weledi hakuna shida.
na wananufaikaMpira ni biashara kubwa sana l, kuliko unavyowaza kwa sasa. Punditry ni sehemu ya kuufanya mpira uongelewe na kufuatiliwa na mashabiki duniani kote.
So, kama sio shabiki huwezi kuelewa ila waliowekeza kwenye soka wanajua nini maana ya punditry.
Tanzania watu wanapenda ujinga ujinga wa kwenye mpira, hao wachambuzi wakinyooka na kuwa waandishi habari wa kweli wanaozingatia weledi mtakosa wafuatiliaji wa huo mpira.Mpira ni biashara kubwa sana l, kuliko unavyowaza kwa sasa. Punditry ni sehemu ya kuufanya mpira uongelewe na kufuatiliwa na mashabiki duniani kote.
So, kama sio shabiki huwezi kuelewa ila waliowekeza kwenye soka wanajua nini maana ya punditry.
Kabisa mkuuKwa utandawazi huu kusikiliza vipindi hivyo ni kupoteza muda. Ukiwa na mtandao bora utafute habari kwenye vyanzo vya kuaminika
uchambuzi ni maoni tu ,ingekuwa unawasikiliza wakina Paul scholes na genge lake basi hawa wa bongo Wana afadhali .Uchambuzi ni maoni tu kila mtu anayo yakwake sio utalamu wala ujuzi .Ndugu zangu wana soka hili tatizo mnalionaje namna alichukuliaje?mmefuatilia hawa wanaoitwa wachambuzi kwenye media mbalimbali? Yaani imekuwa ni kawaida mtu kuzungumza chochote, bila ushahidi wowote bila aibu, taarifa za kubagaza na kubananga brand za timu zetu. (Hasa,Simba na Yanga)
Je suala hili lina afya,? Ndio uhuru wa maoni ama kunahitajika kiwepo kitu au sheria au utaratibu wa mtu kuitwa mchambuzi? Kwa maana tunakoelekea sidhani kama unaelekea kuzuri. Ni maoni ikiwa ni kuboresha au kuona namna gani tunaliweka suala hili katika mazingira ambayo yata balance pande zote.Ni hayo tu kwa leo.
Cc.Dulah-wasafi media
Ngereza-Tv3
Mnolela-efm
Bullah-bongo fm
Salehe jembe-Magazeti
Geof-crown fm
Nk
Wako MAGEMAJR17
0746055137