Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Status
Not open for further replies.

Hahahaha umenifurahisha wap nimerembua macho? Pozi za kulegeza shingo ina ubaya gani?

Hivo unavyoona kwenye picha ni kawaida ndivyo nilivyo.

Naheshimu mawazo yako na wengine nilishasema niko tayari kwa lolote
 
Inawezekana una uraia wa TZ lakin kwa uzoefu wangu wewe sio mTZ,kua mTZ kuna maana zaid ya kua raia wa TZ..

Money Stunna
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana una uraia wa TZ lakin kwa uzoefu wangu wewe sio mTZ,kua mTZ kuna maana zaid ya kua raia wa TZ..

Money Stunna

uraia wa mtu siyo rangi bali kitambulisho mfano passport ndio uthibitisha uraia wa mtu.
hapa tanzania kuna wazungu,wachina,waarabu na wahindi ambao ni watanzania
 
sipat picha hii thread ingkuwa imefunguliwa na mimi,kashifa na matus yake sasa

hahahahahaa inategemea na lugha uliyoandika kama ni ya kawaida au ya kuuzi,pia lazima ukubali kupingwa pia si kila mtu atakuunga mkono na inabidi kuwa mpole na kukubaliana na yote maamuzi ya wadau.

pia lazima uwapende wadau wote wanaokuunga mkono na wasiokuunga mkono sababu watu tunatofautiana mtazamo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…