Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Status
Not open for further replies.
Kwa kweli dunia inabadirika kwa kasi sana...hivi siku hizi imefikia wanaume tunabehave hivi no offense brother ila mwanaume kupenda kuonesha onesha picha zake in public...while pozi zenyewe ni za kulegeza shingo..kuonesha boxer pamoja na kulembua macho ni "GAY things"...vipi are..?? Sio kwa nia mbaya brother mi naheshimu hisia za mtu binafsi..

Cc money stunna

Hahahaha umenifurahisha wap nimerembua macho? Pozi za kulegeza shingo ina ubaya gani?

Hivo unavyoona kwenye picha ni kawaida ndivyo nilivyo.

Naheshimu mawazo yako na wengine nilishasema niko tayari kwa lolote
 
Inawezekana una uraia wa TZ lakin kwa uzoefu wangu wewe sio mTZ,kua mTZ kuna maana zaid ya kua raia wa TZ..

Money Stunna
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana una uraia wa TZ lakin kwa uzoefu wangu wewe sio mTZ,kua mTZ kuna maana zaid ya kua raia wa TZ..

Money Stunna

uraia wa mtu siyo rangi bali kitambulisho mfano passport ndio uthibitisha uraia wa mtu.
hapa tanzania kuna wazungu,wachina,waarabu na wahindi ambao ni watanzania
 
sipat picha hii thread ingkuwa imefunguliwa na mimi,kashifa na matus yake sasa

hahahahahaa inategemea na lugha uliyoandika kama ni ya kawaida au ya kuuzi,pia lazima ukubali kupingwa pia si kila mtu atakuunga mkono na inabidi kuwa mpole na kukubaliana na yote maamuzi ya wadau.

pia lazima uwapende wadau wote wanaokuunga mkono na wasiokuunga mkono sababu watu tunatofautiana mtazamo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom