Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Status
Not open for further replies.
Mbona hizo picha hazijakaa KIUME?????

Naona kushiriki BBA ni upuuzi uliokithiri.
 
uraia wa mtu siyo rangi bali kitambulisho mfano passport ndio uthibitisha uraia wa mtu.
hapa tanzania kuna wazungu,wachina,waarabu na wahindi ambao ni watanzania

gombea big brother ya huko kwenye mabox, mtoto mwenyewe mlaini kama demu .kwanza nina wasiwasi kama we kweli mwanaume halisi, usije kutuaibisha kwa kuolewa huko big brother
 

Mie naona kama vile unadandia hili jamvi la the great thinkers. Siku zote threads zako zinakuwa za ki-Facebook sana.

Dogo, hili jamvi siyo size yako. Hapa tunajadili issues, tunazidadavua na kupata ufumbuzi wake.

Mathalani wakati huu hapa nchini tunashuhudia namna tembo na faru wanavyoteketezwa, bunge la katiba lilivyojaa wanasiasa maccm, namna wabunge hao watakavyojipa shavu la 700, 000/= introduction of EFD machines, zinazowaumiza wavuja jasho, n.k.

Those are some of the issues that need to be discussed by the great thinkers.

Sasa kwanini huo ugoro wako unashindwa kuupeleka FB kwa watoto vichwa maji wenzio????

Tafadhari, heshimu jamvi hili na uhamishie mawazo yako hayo kwa watoto wenzio.
 
una uhakika kama ana demu? au unadhani yeye hawezi kuwa demu wa mtu? kwa tabia hizi ukiona manyoya usiulize sana.
Ha ha ha ha Matola demu wake yupo hapa ujue
mi mi mi simoooo
 
Last edited by a moderator:
we matola una wivu mwili wangu wa kimazoezi wakati wako minyama uzembe hapo niko mazoezi ulitaka nivae suti

We mvamizi wa jamvi la wenye akili, ni lini na wapi ndani ya jamvi hili uliona members wana na mawazo butu na threads zisizokuwa na mashiko kama zako!!!!

Tafadhari, hamia fb kwa wenzako. Maana umeshaanza mipasho kama waimba taarabu.
 
We mvamizi wa jamvi la wenye akili, ni lini na wapi ndani ya jamvi hili uliona members wana na mawazo butu na threads zisizokuwa na mashiko kama zako!!!!

Tafadhari, hamia fb kwa wenzako. Maana umeshaanza mipasho kama waimba taarabu.

Hakuna mtu alikulazimisha kusoma na kuchangia.
Niko tayari kwa koment yoyote najua watu kama nyie hamkosekan
 

Hayo mambo za machine za TRA yanaingiaje jukwaa ili?
Hizo mambo peleka jukwaa husika si apa
 

wewe juzi si ulienda kutoa MAHARI? hebu nenda kawaulize wakwe zako watarajiwa kama wangependa wakuone kwenye tv ukijipitisha na boxer na kuoga hadharani....hapa tunaweza kukupotosha bure maanake akili yako haijui unataka nini...
 
mi naona vigezo unavyo..ila kitakacholeta shida ni utayari wako. Nami napendekeza ushiriki

Shiriki tu ila badiebey ataipata kazi humu jamvini

Shiriki binafsi sapoti ntakusapoti..

Mkuu tatizo unaonekana kama ni foreigner- muzungu fulani kupita washiriki wote waliowahi toka bongo!! Bare in mind me sio racist,vinginevyo Sura yako inauzika,hata mwili pia japo hujageuka hata nyuma(Kiding))))

Wengine hatujui kupiga hata kura ila utapata wa kukupigia wengi humu Jf

Nenda ndugu yangu....kwani nini bhana.,...we nenda tu!

You r body is killing. U r good. Just gooooooooo.kama nawe Ni umetaka from your heart.
Cjawapga kura it wil be da first time for me to do so

haya nenda.blaza....

Nenda jaman na mi ntapiga kura mwaka huu.. U r too hot

Mi ningependa mkaingia wote na Kiaz Kitam itakua noma sana umo Mjengon.

kiazi kitamu ndo nani huyo!

Ni kiazkitam

Mi ningependa ashiriki Matola jamani
:
:cc moneystunna

Mahari umeshalipa?

Ushapoteza vgezo,BBA huwa wanachukua wa2 ambao hawajatangaza nia hadharan,dats y hata unaoenda nao kwa audition mnakuwa hamjuan,nways go on n kila la kheri

Ata mshindi wa BBA mwaka majuzi alikua LEFT HAND kama wewe... Kura yangu unayo babu

Go go bro kma nafsi yko imeridhia nenda

Picha ziko nyingi nitaweka nyingine mdada

Ningeandika habari bila picha wangekuja hakina Tusker Baridi kutaka niweke picha.

Umewasahau wazee wa 'weka picha '

Nenda basi wewe ukawakilishe

Demu wako anachukulia poa tu???

vigezo ni vipi??

we ndo mshenga mbn upo kimbelembele kumjibia?

Sio mbaya mkuu ukienda kuuza sura

We ndio kimbembele kuuliza yasiyokuhusu,mie mshenga uliza lingine ntajibu

Go shombee, u got it ol

Sihitaji pesa nipe tigo yako tu niifumue na dildo

na we shombeshombe nini?!

reception ndo kigezo kinachomata BBA

Huoni picha !!

Heheheh wazee Wa madildo

shiriki mkuu!

do what your what is telling you!

cc. Money Stunna!

but huwa siamini kama ww ni hio sura hapo juu!

Mi nikienda nitaubili injili mwanzo mwisho

kumbe ndo weye huo? aiseee.

Go for it, I think u fit in there and I hope utatuwakilisha vema.. Goodluck

Inawezekana una uraia wa TZ lakin kwa uzoefu wangu wewe sio mTZ,kua mTZ kuna maana zaid ya kua raia wa TZ..
Money Stunna

we kaoge maji ya baharini ukija utafagiliwa

ovyooo unawaza ngono tu!! Utakua kuni cku ya kiama

ww

hahahahaha we msukuma unadamu ya kungun wewe ,kaogee majan yj mpapai

ha ha ha ha ha haaaa

uwiiiiiiiiiiiiih!!!!!

Nyoooooooo ushindwe kua wewe niwe mie kha!kuni my ass

Shiriki kama unashiriki tatizo hua haujiamin mbona hata kuna wanaomponda money stunna na hakasiriki

Lusungo naomba umhubiri huyu anaejiita mchicha hautofautian na mchelemchele

una uhakika kama ana demu? au unadhani yeye hawezi kuwa demu wa mtu? kwa tabia hizi ukiona manyoya usiulize sana.

kama kusoma hujui hivi hata picha huelewi?

mkuu heaven on desert, wewe ni mti wenye matunda kwaio usiogope kupigwa mawe!

Low thinking ability. Sehemu yenu sahihi ni Facebook. Pelekeni pumba zenu huko.
 
Last edited by a moderator:
Mbona hizo picha hazijakaa KIUME?????

Naona kushiriki BBA ni upuuzi uliokithiri.

Acha mawazo potofu. Wewe weka picha yako tuone.

Mwanaume halisi uwa aogop mtu weka yako
 
Hayo mambo za machine za TRA yanaingiaje jukwaa ili?
Hizo mambo peleka jukwaa husika si apa

yap apeleke kariakoo kwa wachaga kuna watu wanawaza siasa hata kanisani ndio tatizo la procdm na siasa za kishamba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…