badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,112
Shoga akeee mi namtakia shemeji kila laheri
mi mwenzio moyo wangu mdogo sana, nkiwaza mambo ya jumba hilo afu mwenzangu anambie anaenda
uuh ntazimia, usinisahau kwenye ufalme wako
usijali bestii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shoga akeee mi namtakia shemeji kila laheri
mi mwenzio moyo wangu mdogo sana, nkiwaza mambo ya jumba hilo afu mwenzangu anambie anaenda
uuh ntazimia, usinisahau kwenye ufalme wako
kama kusoma hujui hivi hata picha huelewi?
Wacha mruhusu aende mwaego maneno ya humu yasiwatishe tena akienda we ndio mpiga debe kuhamasisha watu wapige kura
ntampigia kura na debe mwanzo mwisho..
Hizo Picha si zipo JF photos we money
ungeweka nyingine ina wezekana labda now una makovu makovu bwana mdogo
.
Hizo Picha si zipo JF photos we money
ungeweka nyingine ina wezekana labda now una makovu makovu bwana mdogo
.
Unataka awe na makovu hajapata shida huyo atayatolea wapi
.
Lol unavyo msapoti kama upo nae ndani ya 18.....
Au umewahi kum kagua kagua
afu hili jukwaa sheria zimeanza kukiukwa sana yaani mtu sio celebrety afu anakuja kutuuzia nyago humu ndani.....
.
any way
bullshit always gonna be bullshit
.
Lol kura hazi make sense to me!
Utakufa masikini bure
Siku zote mshindi huwa anajurikana hata upige kura vipu!!
.
Na kuna tu unafiki unafiki huwa tunafanyika
Low thinking ability. Sehemu yenu sahihi ni Facebook. Pelekeni pumba zenu huko.
Hata yule mtanzania aliyeshinda kuna tuvitu tulifanyika.....?
We nenda instagram
Ni mdhungu
Eti Money stunna we si ni mdhungu au?