Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Niiwakilishe Tanzania Kwenye Big Brother Mwaka Huu (2014)

Status
Not open for further replies.
Ushapoteza vgezo,BBA huwa wanachukua wa2 ambao hawajatangaza nia hadharan,dats y hata unaoenda nao kwa audition mnakuwa hamjuan,nways go on n kila la kheri
 
Money Stunna, out of curiosity mkuu hunaga snaps nyingine? maan,hizi ni repost.

Duh kwa jicho la tatu nakuona mpwa una jambo ila umelimeza haaaahaa umekosa ujasiri kidogo tu ungefunguka ingekua siasani kule lzm ungepata wanachama,thanx much nimecheka sana swahiba.
 
Last edited by a moderator:
Ata mshindi wa BBA mwaka majuzi alikua LEFT HAND kama wewe... Kura yangu unayo babu
 
halafu tuwekee pic za recently basi maana hizi ni marudio za kule Jamii photos

na ulizopost MMU..atleat tune the difference pia
 
mwisho mwampamba》》richard》》nando》》 MONEY stunna
hivi BBA lazma waende hawa waarabu arabu?!!
kwanini tusipeleke kitu kimoja black tiiii toka muleba kinachopiga kizungu cha kihaya.
samahani lakini kiroho safi
 
Last edited by a moderator:
Mhhh hivi kwa nini unapenda kujianika pic zako hum jamvini hivi

ur good looking lakin honestly sion umuhimu huu

Ningeandika habari bila picha wangekuja hakina @Tusker Baridi kutaka niweke picha.

Umewasahau wazee wa 'weka picha '
 
mwisho mwampamba》》richard》》nando》》 MONEY stunna
hivi BBA lazma waende hawa waarabu arabu?!!
kwanini tusipeleke kitu kimoja black tiiii toka muleba kinachopiga kizungu cha kihaya.
samahani lakini kiroho safi

Nenda basi wewe ukawakilishe
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom